Black Berry Jamii Forum

Black Berry Jamii Forum

0909Hekima

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
226
Reaction score
66
Habari wanajamii wenzangu, ningependa kufahamu, je kuna group lolote kupitia BBM linaendeshwa na JAMII FORUM katika kutoa mada tofauti tofauti!? Naomba mnijuze, asanteni.
 
Habari wanajamii wenzangu, ningependa kufahamu, je kuna group lolote kupitia BBM linaendeshwa na JAMII FORUM katika kutoa mada tofauti tofauti!? Naomba mnijuze, asanteni.

Habari yako 0909Hekima.
Ngoja waje wenye Blackberry,
Sie akina TECNO-Mchina, hatupo.
 
Last edited by a moderator:
Madame nipe TIN nikupe serial number kama vipi...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom