BitTorrent Giant BTjunkie Shuts Down For Good

BitTorrent Giant BTjunkie Shuts Down For Good

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,446
Please guyssss help
nataka ku download Accounting and Billing software for our company
tulizoea kwenda kwenye torrent na kufanya yale mambo yetu lakini nashangaa nakutana na ujumbe kama huo
kuna njia nyingine za kudownload illegalyyyyy,,,si unajua tulishazoeshwa na wana ccm short cut!!!!!!!!!!!
 
title na content haviendani hivyo mchangiaji anakuwa disapointed hata kukujibu
 
Mkuu kama mna kampuni kabisa kwanini msinunue hiyo software kiuhalali?
 
Duh,mna kampuni na bdo mnategemea vitu free kias hicho.If u are real into the biz,lbd ni Consultancy Firm katika Uhasibu wekeni budget ya kueleweka kununua software km Tally ERP,Quick Books au hata integrated systems km Oracle.
Hizo ni core-items katika biz yenu so usitegemee kuunga unga.Dhamiria haswa to do wat u are doing sio kujaribu!!!!

Ni ushauri tu!!!
 
jaribu hizi links mbili...

ya kwanza ni thepiratebay. ni sehemu ya kupata torrents za kila aina

TPB

na ya pili huwa ni kama google ya torrents

torrentz.eu
 
Back
Top Bottom