Bittersweet situation baada ya kuachana

Mr Discount

Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
83
Reaction score
107
Hivi ushawahi kuachana na mtu ambaye bado unampenda? Then unaanza kukumbuka zile memories ambazo mmekua pamoja. Unakuta memories zinakuumiza lakini at the same time unaenjoy


Imeshawahi kukutokea situation kama hii (bittersweet situation)?


 
4 years together dah, zile memories hazijawah jirudia kwa kenge yyte yule. nilijua tunaoana mbwa yule mpaka alivyoanza umalaya dah.
Sema nn tunasemaga haikupangwa ati.
Heee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pole utampata mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…