Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,570
- 16,017
GTs,
Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi kumchunguza Fr. Kitima kauli yake. Maana yake RC chalamila alivyo boga anategemea amuite Fr. Kitima ili amkutanishe na hao wauaji hahaha ila hakika RC na timu yake wameishiwa. Yaani mnataka kuendeleza mauaji hahahaha