Bishop Rev. Bishop Gwajima & CCM Govt Saga: A crash of two Kingdoms...

Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,250
2,000
Hata Kama si Mtumishi wa Mungu,tunaunga mkono tu kwamba hakuna kuchanjwa mpaka tujiridhishe.

Mengine ni kutaka kuwagawa wanaounga mkono hoja ya kukataa chanjo.Hata hivyo Kila mtu ataiponya nafsi yake mwenyewe.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
4,778
2,000
Huyu huyu aliyeaga mwili wa mwendazake bila kufanya miujiza.
Mm siamini kwenye dini za magharibi ila gwajima simwamini zaidi. Nlishawahi kukaa kwenye ofisi nitakutana na mchungaji yule muhundi wa pale mbezi makonda kaja kuuza madini fake.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
12,813
2,000
Gwajima mbunge wa kawe CCM ndiye mwakilishi wa ufalme wa Mungu?!
 
Mkonya

Member
Jun 22, 2019
51
125
nileteeni kwajima
nileteeni kwajima
nileteeni kwajima
nileteeni kwajima

nileteeni kwajima
nileteeni kwajima
 
Sentebe

Senior Member
Jul 12, 2014
180
250
Ndugu zangu wana JF;

Kwa wachunguzi na wanaotazama kila tukio linalotokea hapa duniani kwa tafakuri na kwa macho angavu, wanaweza kuelewa kuwa mgogoro unaoendelea ndani ya CCM na serikali yake ukiibuliwa na Rev. Josephat Gwajima una maana kubwa sana kwetu wote...

Huu ni mgogoro kati ya falme mbili (two separable kingdoms) kubwa; Ufalme wa mbinguni/MUNGU na Ufalme wa ulimwengu/shetani.

Bishop Rev. Josephat Gwajima anawakilisha Ufalme wa mbinguni/Mungu na CCM na serikali yao wanawakilisha ufalme wa dunia/ulimwengu/shetani/ibilisi.

Falme hizi kamwe hazipatani kwa sababu zimebeba agenda tofauti kabisa lakini mlengwa [battle ground] Wa mapambano na mapigano haya akiwa ni binadamu/mwanadamu...

Historia ya dunia iko very clear sana kuwa, wapo mitume wengi wakubwa waliowahi kutumwa duniani wakiuwakilisha wa Ufalme wa mbinguni/Mungu maarufu na wakubwa kabisa wakiwa ni Mussa, Joshua na baadaye Yesu Kristo aliyekuja akafunga na kumaliza kazi na vita hii na hivyo mwanadamu akakombolewa kabisa na ufalme wa Mungu Yehova uka - reign mbinguni na hapa duniani...

Leo tupo wajumbe wengi wa ufalme wa mbinguni. Rev. Bishop Josephat Gwajima ni miongoni mwetu. Ni sauti ya "jitu la Mbinguni" iliaye nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wake umefikà.

By virtue tunapigana lakini ushindi ukiwa tayari mikononi mwetu. HIVYO MAKAMANDA MSIOGOPE...

Bishop Rev. Josephat Gwajima is a true representative of God's Kingdom. And it's therefore, wafalme wa dunia wanapigana vita dhidi ya ufalme wa Mungu Yehova ambavyo kiuhalisia wanafahamu hawawezi kushinda kwa sababu wana Wa ufalme ulio juu ni washindi...

Ndugu zangu, the devil is always a liar and manipulative. Ukiwa huna maarifa ya ki - Mungu, huwezi kulijua hili bali utaona mambo yanatokea na kudhani no kawaida tu...

Shetani akiwa mtawala wa ulimwengu huu, huwatumia watu usioweza kudhani kabisa ili kutimiza au kutekeleza agenda zake za kumharibu na kumwangamiza binadamu...

Mawakala (agents) wake, mara nyingi ni watu prominent wenye nguvu za kiutawala kwa kutumia serikali za kidunia hii, wenye busara na hekima za kidunia na wenye kuaminiwa kirahisi na wasio na maarifa ya ki - Mungu....

Tanzania ni sehemu ya dunia hii. The devil has a dangerous agenda for this nation and its people na kwa hili, watawala moja kwa moja wakiwa mawakala wake...

Ni ujinga na uwendawazimu kudhani kuwa, serikali na viongozi wake kuanzia Rais hawawezi kutekwa na kununuliwa spiritually ili wauze roho za watu kwa sababu wao wanakuwa tayari walishajiuza kwa mashetani.

Watanzania tuamke na tuhoji kila kitu. Tusikubali tu kupelekwa kama ng'ombe machungani eti kwa kauli za "serikali haiwezi kuumiza wananchi wake....". Ni uongo. Kwani kina Hitler, Mobuto Seseseko, Benito Mussolini walikuwa kina nani? Kwanini walitesa raia wa nchi zao...?

Sasa basi, hii vita kati ya falme hizi mbili, ni nzuri sana. Tunakwenda kuona ni ufalme gani una nguvu dhidi ya mwenzake. Tunakwenda kuona mabadiliko makubwa ktk utawala wa nchi hii.

Nina hakika kabisa sasa kuwa, Bishop Rev. Josephat Gwajima aliingia moja kwa moja katika "active politics" za majukwaani akiwa na gwanda la CCM for purpose na kupewa ubunge ili atimize special prophetic mission ya ki - Mungu dhidi ya nchi na wana wa nchi hii....

Hoja ya watu wengi wanasema hawezi kuwa mjumbe wa Mungu kwa sababu aliingia kwa wizi wa kura mwaka 2020 na kuupata ubunge kwa tiketi ya CCM....

Lakini mimi nasema, It doesn't matter aliingiaje. Kilicho clear kwa sasa ni kuwa, yeye ni mbunge wa CCM...

What matters is that he's there for a special mission and it's must be accomplished...

Na nilicho na uhakika nacho kingine ni kuwa kwa mikono yake, Gwajima hakuiba kura wala hakutuma watu wake waibe kura ili awe mbunge.

Ila ukweli ni huu, kuwa, wana CCM wenyewe walimpa ubunge mtu huyu wa ufalme usiokuwa wao without his knowledge na kumbe waliandaa their own destruction force as we see now. Angalieni chaos anayoisababisha huko CCM na serikalini. Huyu mtu ni unstoppable akiamua kusimamia jambo analoliamini....

Na amesema kwa kinywa chake kuwa piga, ua, garagaza atalipinga swala la chanjo ya COVID 19 kwa sauti kubwa...!

Hili mimi ndilo nalifahamu sasa na ni zuri sana kwa wanamabadiliko na wanaoupinga utawala huu wa miaka zaidi ya 60 wa siasa chafu za CCM.

Asanteni...
Gwajima huyu nabii feki au mwengine?
Kama angekuwa nabii kweli si angemfufua mpendwa wetu Magufuli?
Mwisho wake hauko mbali, mungu huwa hataniwi.
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
4,033
2,000
Kipindi hiki tusipotuliza akili zetu vizuri kutafakari, yawezekana tukaendelea kuchanganywa kuliko ilivyo leo.
 
ProMagufuli

Senior Member
Apr 6, 2021
138

Well said kiongozi 👏👏👏👏
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
4,961
2,000
" korona haitaingia Tanzania, asema Bwana" - Gwajima huyo.
Five days ahead korona ikaingia Tanzania.
Kwa mujibu wa Biblia Kumb.28:18-22.
Gwajima hajatumwa na Mungu ni muhuni tu.
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,536
2,000
Hivi bado anafufua misukule hapo kanisani kwenu?
Absolutely, Yes..!

Ukiamini, unaweza kuuambia hata mlima Kilimanjaro uhame na uende ukatulie ndani ya bahari ya Hindi...

Neno la Mungu ni AMINI, KWELI na HAKIKA..

YESU KRISTO ni yeye yule, Jana , Leo na hata milele. Habadiliki wala hapungui...

Kwake yote yanawezekana kwa AAMINIE..

Mungu Yahwe akusaidie na kufungua ufahamu wako na kukurejeshea maarifa na akili zako zilizoibwa katika jina la Yesu Kristo, amen..!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom