Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

Sasa kama ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu? Hayo mahojiano yanaanzaje kufika Kanisani kwake wakati hayo ni mambo ya kaisari? Gwajima anapenda mashindano yasiyokuwa na tija, Hakuna sababu yoyote ya kufanya hivyo.
Watumishi wa Mungu Toka zamani waliwaonya wafalme walipokengeuka mfano-
Eliya kwa Ahabu
Daniel kwa Nebukadneza nk.
Hata hawa wa Sasa wanatakiwa kufanya hivyo.Shida wanapowaonya watawala wanateswa mpaka waogope.
Sasa wamekutana na jasusi la Mbinguni lipo tayari kupoteza Ubunge.
 
Mwsmbieni Gwajji zile boti za kawe vipi zinakuja lini ili project ya uvuvi kawe ianze, treni inaweza kuja baadae kipindi chake cha pili cha ubunge.
 
Ile mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?

Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
We umeshachanjwa?
 
Apoteze ugali,thubutuu!
 
💪🏽👊🏽👍🏽😅😂
 
Gwajike vs Gwajime vs Job
Hapa umewawezea. Nilikuwa napata shida sana kuwatenganisha hawa viumbe wanaomtesa Mh. Rais Mama yetu Samia.

Gwajike ameufyata wiki hii yote hajajibu tena mapigo.

Gwajime anaendelea kuupiga mwingi. Tumsikilizie kesho ibadani Ufufuo na Uzima Ubungo.
 
Nani vile?aaha gwajibo.
 
Una uhakika na usemacho or you are just trying to make things up?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…