Bishanga, popote ulipo. . .

Hahahaaaa unaanza kujiuma uma eeeh
subiri aje Asprin hapa, ndo atagundua Bepari la Kihaya limemzidi maarifa..... Na kupinduliwa kwa asali wake....

Atakuwa mdogo kama piriton loh!!!!!


Ha ha , hata wewe hunisomi?
Ngoja aje naniliyu anisome.
 
Mie ni asali wa ODM, masega wa Bishanga, sukari wa Rejao.

Ila nina husband 🙂 mmoja tu.

Hahahaaaa unaanza kujiuma uma eeeh
subiri aje Asprin hapa, ndo atagundua Bepari la Kihaya limemzidi maarifa..... Na kupinduliwa kwa asali wake....

Atakuwa mdogo kama piriton loh!!!!!
 
Mie ni asali wa ODM, masega wa Bishanga, sukari wa Rejao.

Ila nina husband 🙂 mmoja tu.

hahhaaa husband ndo 'mzinga' au?
Na nyuki ni nani?
Maana naona asali na masega tu hapo loh!!!!!!!
 
bishanga ni kama mlenda, labda nikomae kwa ulimi yaani huwa haruki kabisa hapa kwangu.

Nimemtoa ICU baada ya kupigwa huko Mchele Ltd.

Hahahahahaaaa hapa huwezi komaa kwa Bishanga tu
 
Husband ni kongosho ya kongosho, hata kumtaja taja na-blush bure.

Ntakutajia PM lol

hahhaaa husband ndo 'mzinga' au?
Na nyuki ni nani?
Maana naona asali na masega tu hapo loh!!!!!!!
 
bishanga ni kama mlenda, labda nikomae kwa ulimi yaani huwa haruki kabisa hapa kwangu.

Nimemtoa ICU baada ya kupigwa huko Mchele Ltd.
Sasa mwambie asiende tena kule hakumfai labda afanye kwanza mazoezi ya kula mirungi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…