Bishanga hoi chakari!

Bishanga kama trip iwe ya kwenda moshi ukamalizie kale kagorofa alikoanza mzee lakini soko la kahawa lilipoporomoka akawa ameshindwa kumalizia ule ujenzi.

hata trip ya kwenda nassau,bahamas hutaki? Tutakwebda kwa KLM business class via amsterdam
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kama trip iwe ya kwenda moshi ukamalizie kale kagorofa alikoanza mzee lakini soko la kahawa lilipoporomoka akawa ameshindwa kumalizia ule ujenzi.
hilo ghorofa mwambie ngauti wangu Filipo amalizie,mi nikatieni kiamba nishushe kitu cha ukweli,chezeiya wewe tajiri la kihaya!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…