Bishanga hoi chakari!

Mi ndio nipo nae huku alipolazwa Bishanga ,Ameandikiwa Dripu 8 za senene ambazo atazimaliza keshokutwa,na taarifa inayotusikitisha mgonjwa haendi haja kubwa siku ya 7 sasa

mang'ana
 
Last edited by a moderator:
Mi ndio nipo nae huku alipolazwa Bishanga ,Ameandikiwa Dripu 8 za senene ambazo atazimaliza keshokutwa,na taarifa inayotusikitisha mgonjwa haendi haja kubwa siku ya 7 sasa

My brother mbona yuko powa tu ila leo kaenda safari
 
Last edited by a moderator:
Mleteni kwangu jamani, mbona dawa yake huyo rahisi tu!
 
Nimebakizwa huku Tng kuna mdada aliniokota stand akanipeleka kwao. Nilipo fika nikafungishwa ndoa. Na wameniambia nikijaribu kukimbia mimba itahamia kwangu, msaada wako pls niludi kwetu
mie ntasubiri udaku kesho yake asubuhi
 
Mkwe, nakusalamia tu. Ukapime manake naskia tanga kulikuwa valuvalu.

tanga raha bana, watu tumefaidije! Mi nilijitambulisha na ile ID yangu nyingine! Nimerudi salama mkwe, uskonde.
 
tatizo lako wewe kwashakoo ambayo imesababisha mtalimbo wako ulale doro,mwone pua ka la Rejao.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…