Bishanga hoi chakari!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,502
Reaction score
145,912
Nyepesi nyepesi nilizopenyezewa mishale hii zinaeleza kuwa Bishanga amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Buseresere akisumbuliwa na kifaduro. Pia, nyepesi hizo zimeongeza kuwa hali yake ni mbaya na kwamba pamoja na kifaduro, pia ameshikwa na ngiri.

Hivyo wana chit chat nawaomba mumweke kwenye sala zenu ili walau aweze kuiona 2013.:der:
 
maskini Bishanga!!!!
ndo maana simuoni hapa, hivi ngiri ina tiba......
 

Copy kwa The secretary
 
Last edited by a moderator:
kordan moja inakua ndefu na nyingine fupi. hizi mvua na baridi ni balaa!. mia
 
Jamani Bishanga yupo kwenye maombolezo. Amefiwa na rafiki yake.
 
Last edited by a moderator:
mbona jana nilikuwa nae pale mango garden imekuwaje tena. Hivi beef zenu hazijaisha?
 
kalewa rubisi bwana bepari Bishanga
 
Last edited by a moderator:

sijui atasema alikuwa wapi mwaka jana alisema mafuriko yalimzuia njiani, IDD alisema alikwama Machimboni sasa sikukuu hizi atasema nini maana hata mvua hakuna. au alienda Tanga kwa chabo atakuja na gazeti
 
Last edited by a moderator:
Mi ndio nipo nae huku alipolazwa Bishanga ,Ameandikiwa Dripu 8 za senene ambazo atazimaliza keshokutwa,na taarifa inayotusikitisha mgonjwa haendi haja kubwa siku ya 7 sasa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…