Ford Range
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 310
- 475
KAMA KAWAIDA ha ha ha haWanajimu watusaidie kwa kweli
Hahaha duuuhKAMA KAWAIDA ha ha ha ha
Nimekuwa nikitembelea mitandao mbalimbali ya kijamii lakini kuna jambo linanishangaza kwa watu waliozaliwa mwezi June na wale wa May mwishoni wanaojiita Gemini, why wanajitangaza sana kila mahali, mara T-shirt, legend are bone on June, Queens are born on June, mbona promo kila mahali, bado kwenye post zao sasa Gemini, Gemini, mbona wako hivyo, hizo mbwembwe mbona hatuzioni kwa watu waliozaliwa miezi mingine? What is behind Gemini people, wataalam wa hizi mambo naomba ufafanuzi kama kuna kitu cha ziada kinachowafanya watu wa jamii hii ya Gemini kuwa na mbwembwe hizi.
leo kaliotea goli la bega, kuna nyuzi kadhaa hapo juu wajomba wamemfunga 'la mkono'KAMA KAWAIDA ha ha ha ha
mmmh. 27 may inahusika hapa? mbona siko hivyo! la sivyo cheti cha kliniki hakikuniacha salamaWatu wa nyota ya Gemini(mapacha) ni waliozaliwa kati ya Mei 20 mpaka Juni 21.
Watu hawa huwa na character zinazofanana, baadhi ya tabia zao ni
1. Wanapenda kuonekana ni wajuaji
2. Wanapenda kuabudiwa
3. Huwa wanafanya vizuri sana katika maisha iwe kwenye muziki, michezo, uandishi n.k
Mfano wa watu wenye hiyo nyota ni
Tupac Shakur
Kanye West
John F Kennedy
Lady Jayd
Reginald Mengi
Steven Gerlad
Na wengine wengi.
Pia katika kila career wanayoifanya siku zote watu wa nyota hii huwa wa kipekee . Upekee huo waweza kuwa in Positive au Negative manner.
Na ndio maana huwa wanajinasibu " legend are born
in June".
Nina hakika hata tarehe yake ya kuzaliwa haijui. Mtu anekana jina lake mwenyewe unadhani atatilia maanani tarehe yake ya kuzaliwa.Kwani Bashite kazaliwa mwezi gani