Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,247
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti , redio na Channel za Tv ikiwemo WASAFI TV , ilikuwa hapatoshi , shangwe za birthday yake zilivuma siku nzima , waliacha kumuita jina lake , wakati huo akaitwa Baba Keegan .
Sasa leo baada ya madaraka kwisha , CHAWA WOTE WAMEPUKUTIKA utadhani wamepuliziwa Diazon , ile dawa kongwe ya kunguni ! ama hakika dunia duara kubwa sana . Hakuna cha Insta wala Twitter
HAPPY BIRTHDAY BABA KEEGAN