Birthday ya Makonda yakosa Shangwe, Chawa waingia mitini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,422
215,184
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti , redio na Channel za Tv ikiwemo WASAFI TV , ilikuwa hapatoshi , shangwe za birthday yake zilivuma siku nzima , waliacha kumuita jina lake , wakati huo akaitwa Baba Keegan .

Sasa leo baada ya madaraka kwisha , CHAWA WOTE WAMEPUKUTIKA utadhani wamepuliziwa Diazon , ile dawa kongwe ya kunguni ! ama hakika dunia duara kubwa sana . Hakuna cha Insta wala Twitter

HAPPY BIRTHDAY BABA KEEGAN

Mtoto_wa_kiume_unaogopa_Mahakama%3F_Toka_huko_uliko_jificha_brother._Tutakuweka_makofi!.jpg
 
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti , redio na Channel za Tv ikiwemo WASAFI TV , ilikuwa hapatoshi , shangwe za birthday yake zilivuma siku nzima , waliacha kumuita jina lake , wakati huo akaitwa Baba Keegan .

Sasa leo baada ya madaraka kwisha , CHAWA WOTE WAMEPUKUTIKA utadhani wamepuliziwa Diazon , ile dawa kongwe ya kunguni ! ama hakika dunia duara kubwa sana . Hakuna cha Insta wala Twitter

HAPPY BIRTHDAY BABA KEEGAN

View attachment 2120368
Hahaahahah namwona na Mzee magu
 
Hali ni tete kwa Bashite.
Kwa sasa anaishi kwa tabu sana.
Hana raha wala furaha.
Hajui hata iende na midundo ipi.
 
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti , redio na Channel za Tv ikiwemo WASAFI TV , ilikuwa hapatoshi , shangwe za birthday yake zilivuma siku nzima , waliacha kumuita jina lake , wakati huo akaitwa Baba Keegan .

Sasa leo baada ya madaraka kwisha , CHAWA WOTE WAMEPUKUTIKA utadhani wamepuliziwa Diazon , ile dawa kongwe ya kunguni ! ama hakika dunia duara kubwa sana . Hakuna cha Insta wala Twitter

HAPPY BIRTHDAY BABA KEEGAN

View attachment 2120368
Yaani wewe
Dah

Leo umempa kongole bandidu
 
Kwani hujui maisha wewe? yani nd tulivyo binadamu ata wewe leo ukianguka nd ivyo hautaona chochote juu yako na rafiki zako hutawaona kwahiyo amna cha ajabu apo mkuu muda ushaongea na daudi a.k.a bashite muda wake umepita anaganga yajayo Mkuu
Wanasemaga kwamba " be kind to people on your way up, you might meet them on your way down "!! Sasa kama aliweza kudhalilisha wazee wenye umri mkubwa kama au kuliko baba yake hapo makosa ni ya nani ?? What goes around comes around !! Avumilie tu na afanye toba!!
 
Nimegusia nyanja nyingine kwa mawanda mepesi na ulichogusia ni kingine Mkuu sijui kama umegundua ilo
 
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti , redio na Channel za Tv ikiwemo WASAFI TV , ilikuwa hapatoshi , shangwe za birthday yake zilivuma siku nzima , waliacha kumuita jina lake , wakati huo akaitwa Baba Keegan .

Sasa leo baada ya madaraka kwisha , CHAWA WOTE WAMEPUKUTIKA utadhani wamepuliziwa Diazon , ile dawa kongwe ya kunguni ! ama hakika dunia duara kubwa sana . Hakuna cha Insta wala Twitter

HAPPY BIRTHDAY BABA KEEGAN

View attachment 2120368
Kapost yupo mbugani anakula bata
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom