Birthday ya jf lini?

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
Kwenu wakuu, jaman birthday ya jamiiforums ni lini? Mana nadhan ni muhim kujua ili kuweza kuikumbuka na walau kufanya hata ka-party kidogo..
 
Ndo matatizo ya watu waliojiunga 2012 kwani hawajui hata tulishafanya party spesheli wakati tunaianzishaga hii jf yetu
kwenu wakuu, jaman birthday ya jamiiforums ni lini? Mana nadhan ni muhim kujua ili kuweza kuikumbuka na walau kufanya hata ka-party kidogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…