Birthday ya IRENE UWOYA wa KATAUTI

Birthday ya IRENE UWOYA wa KATAUTI

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
ire3.jpg
ire4.jpg
ire2.jpg
ire1.jpg
IMG_4489.jpg
 
Hawa si wamegombana tena na katauti kamchukua mtoto na kamwambia irene akiendelea na upumbavu wake akae tayari kupokea maiti tatu(katauti,chrish na mtoto wake wa kwanza wa katauti)u
 
Hawa si wamegombana tena na katauti kamchukua mtoto na kamwambia irene akiendelea na upumbavu wake akae tayari kupokea maiti tatu(katauti,chrish na mtoto wake wa kwanza wa katauti)u
Wanyarwanda kuua si kazi ngumu sana kwao
 
am suprised too; kumbe watembea uchi (vichaa) ni wengi sana hapa nchini!!

to be honest me mkaa uchi simtaki hata kidogo yani anantia kinyaa tu. mi napenda kitu kilichokuwa covered bana, ikitokea akakaa mkao flani ukapata japo kuona asilimia ndogo tu ya mwili wake u go crazy and then unaanza kutengeneza picha ya jinsi gani anaweza kuwa when she is nude.....hapo lazma hisia zije juu sanaaaaa
 
vivazi vya kinadada mmh manyonyo yote nje ,mapaja nje ,hivi huu ndo urembo wenyewe?
sio urembo ni matangazo ya biashara..hao wote hapo ni malaya wanaojiuza, wanatofautiana mazingira ya kupatikana tu tofauti na wale wa ambiance, but they are almost the same!
 
Do!!
Kuna watu wako Bize jamani, paja Lisipite mbele ya macho yao LAZIMA walikung'ute picha na kuimwaga JF..
Mh! mie napitaga tu..sisemi chochoote!!
 
vivazi vya kinadada mmh manyonyo yote nje ,mapaja nje ,hivi huu ndo urembo wenyewe?

Mtaji wa maskini ni nguvu zake, mtaji wa masupa star wa kike wa bongo ni miili yao na ndiyo maana wanaongoza kukaa uchi ili wakware wapate picha kamili.
 
Back
Top Bottom