ha ha kuna mtu kahack account yangu ujue
yu see eee ha ha ha halafu umependeza mno leo ujueaiseee!
aaa we unataka kumaliza uhondo sasa.
Njoo utamjua bana
Mbona nshafika mie hapa...kwa mbali nawaona wadau!!
hata mie ananiboajeeee sana
nitamletea kick muda c mrefu
Au nimripoti kwa modereta wa hapa?
where is the party at???
i want to see all of u.
am sorry my dia this is FOR INVITATION ONLY.
Next tyme 2takupm swrty
gardenMnafanyia bedroom?