Hi wana Jf,
Wikiend yangu nimeimaliza vibaya kisa birthday.
Jana mpenzi wangu alikua anatimiza miaka kadhaa, alinialika na nilimpa kiasi fulani kwa ajili ya kaji-pat hako. Lakini kwa bahati mbaya, nikapata emergence ya kwenda nje kidogo ya mji iliyonifanya nirudi usiku. Kilichotokea sasa, mchumba angu kanuna na hataki kupokea simu, anani sms tu tena kwa lawama hadi najisikia vibaya. Namuomba msamaha hanielewi. Nifanyaje jamani na mie nampenda, na nilishamtambulisha hadi kwetu?

Hamna haja ya kukua..mmeshakua kinachoendelea hapo ni hivi uyo dada anakupenda sana na wewe kuwepo kwenye bday yake angefarijika sana hujui jinsi gani alivyoboreka bila wewe kuwepo.ukiona kanuna ujue amechukia mbembeleze bana kwani hujui sisi hua tunadeka..kwenye mapenz hakuna kumature kama ingekua hivo watu wasingeona wivu.bday inaeza ikawa sio muhimu kwako ila inategemea na mazingira uliyolelewa kama hujawahi kufanya bday unazani utaithamini siku yako ya kuzaliwa? Muache mwenzio aifurahie.Wote mnahitaji ku-mature
Birthday kitu gani bwana
Ingekuwa ni mimi ningempiga Ban la kunipigia simu na sms zake za lawama naziblock....
Usikute Chalii alienda nje ya mji kusaka Chapaa halafu mtu anaanza tu kumlaumu.
Hizi show off's zinatugharimu sana vijana, Damn...
uvulana kazi ,,,, kila kitu kwako inakuwa kuomba msaada tu jf ...........
Wote mnahitaji ku-mature
Birthday kitu gani bwana
Heh!
Kweli kila shetani na mbuyu wake! Yaani paw akisahau besdei yangu ama akaikosa bila sababu maalumu na kujikausha kuisogeza mbele! Anajua hapati unyumba mwezi mzima!
Hi wana Jf,
Wikiend yangu nimeimaliza vibaya kisa birthday.
Jana mpenzi wangu alikua anatimiza miaka kadhaa, alinialika na nilimpa kiasi fulani kwa ajili ya kaji-pat hako. Lakini kwa bahati mbaya, nikapata emergence ya kwenda nje kidogo ya mji iliyonifanya nirudi usiku. Kilichotokea sasa, mchumba angu kanuna na hataki kupokea simu, anani sms tu tena kwa lawama hadi najisikia vibaya. Namuomba msamaha hanielewi. Nifanyaje jamani na mie nampenda, na nilishamtambulisha hadi kwetu?
Ukimnyima Unyumba akiamua kwenda kutafuta Ukibanda mahali ingine utamlaumu?