Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 96
Hi wana Jf,
Wikiend yangu nimeimaliza vibaya kisa birthday.
Jana mpenzi wangu alikua anatimiza miaka kadhaa, alinialika na nilimpa kiasi fulani kwa ajili ya kaji-pat hako. Lakini kwa bahati mbaya, nikapata emergence ya kwenda nje kidogo ya mji iliyonifanya nirudi usiku. Kilichotokea sasa, mchumba angu kanuna na hataki kupokea simu, anani sms tu tena kwa lawama hadi najisikia vibaya. Namuomba msamaha hanielewi. Nifanyaje jamani na mie nampenda, na nilishamtambulisha hadi kwetu?