Biriani ya Samaki

Biriani ya Samaki

Nadhani ninaipenda zaidi biriani kuliko pilau.

Wiki hii lazima nitengeneze seafood biriani.
 
Mie napenda pilau zaidi, since utoto up to now, ila nisilipike mimi.

Chakula upikacho mwenyewe mimi naona kama huwa hakinogi ukikila siku hiyo hiyo.

Nadhani ni kwa vile unakitayarisha mwanzo mwisho.

Ndo maana wakati mwingine huwa nikipika msosi siuli siku hiyo hiyo.

Naula kesho yake na unakuwaga mtamu sana.
 
Ni kweli aisee, ila sasa kikilala kinakuwa kiporo tena
 
Chakula upikacho mwenyewe mimi naona kama huwa hakinogi ukikila siku hiyo hiyo.

Nadhani ni kwa vile unakitayarisha mwanzo mwisho.

Ndo maana wakati mwingine huwa nikipika msosi siuli siku hiyo hiyo.

Naula kesho yake na unakuwaga mtamu sana.

Nahisi unakua umeshibia harufu jikoni me hiyo ilikua zamani ila siku hizi napika nkimaliza napakua tena nakienjoy hasa
 
Yaani acha kabisa, kiporo ni kitamuuu ila sasa ni majanga kwa afya.

Hakina neno kikilala usiku mmoja muhimu ni jinsi gani unakihifadhi unatakiwa utafute vibakuli maalum vyenye ufuniko kwa ajili ya left overs muulize kaka Nyani ngabu akupe tips zaidi
 
Nahisi unakua umeshibia harufu jikoni me hiyo ilikua zamani ila siku hizi napika nkimaliza napakua tena nakienjoy hasa
Duuuh! Mie bado siwezi aisee, nikishakipika siwezi tena kula, kesho yake ndio nakienjoy.
Kuna vyakula vikilala vinazidi utamu cha kwanza chapati
Aiseee chapati sijawahi, kumbe! I'll try this
Hakina neno kikilala usiku mmoja muhimu ni jinsi gani unakihifadhi unatakiwa utafute vibakuli maalum vyenye ufuniko kwa ajili ya left overs muulize kaka Nyani ngabu akupe tips zaidi
Oooh na ukikipasha vizurii yaani moto uingie vizuri si kinakuwa poa tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom