Hawajapaka carolight kweli hao???
I wonder how much they spend on make up, Natalia do u have an idea? Wanapendeza hata bila kuolewa na muzungu au kuwa Mtoto wa fisadi!
Ndege mahiri kwa nyimbo, inasemekana anaweza kuiga nyimbo zaidi ya 130, huenda ndiye anayeongoza, maeneo ya majumbani nykati za asubuhi hasa vijijini ndio utamsikia zaidi..............
Ndege mahiri kwa nyimbo, inasemekana anaweza kuiga nyimbo zaidi ya 130, huenda ndiye anayeongoza, maeneo ya majumbani nykati za asubuhi hasa vijijini ndio utamsikia zaidi..............View attachment 74625
Hawajapaka carolight kweli hao???
I wonder how much they spend on make up, Natalia do u have an idea? Wanapendeza hata bila kuolewa na muzungu au kuwa Mtoto wa fisadi!
Yangeyange nipe kucha nyeupe...........anaitwa Cattle Egret, anaishi parasitic life kwa kutegemea mlo wa mbung'o ambao nao hutegemea kupe walioko kwenye ng'ombe ambao nao wanategemea uchafu uliopo nkwenye ng'ombe........jina maarufu fuata ng;ombe........lakini ana sifa kubwa ya usafi na inasemekana kucha zake zinabahati kutokana na kung'aa sana..Yangeyange nipe kucha nyeupe