Birds, So Cute

"hawavuni,hawapandi, wala hawana ghala yeyote hata hivo baba yenu wa mbinguni huwalisha; Je ? ninyi si bora zaidi yao"
 
Mara nyingi dume hupendeza kuliko jike..........ANGALIA HATA KUKU WAKO nyumbani..jogoo lazima liko soap soap kuliko mtetea




Na ndege wa maeneo ya tropiki wanapendeza sana kutokana na uhakika mkubwa wa chakula kuliko wa maeneo mengine
sasa si halifanyi kazi saa ngapi litachafuka,kazi kuzurura na kula kula tu.asante kwa picha.
 
Hata kwetu wapo...........Ikulu!
waliuzwa sana wakati fulani ikalazimika tufanye sensa wamebaki wangapi, kuna mgeni hakuamini kama wako kiasilia alipowaona wanaranda maeneo ya Ikulu, huyo hapo ni dume kwani kwa asili ndege sume huvutia kuliko jike tazama mfano wa njiwa majike ndiyo hutongoza dume
 
View attachment 74494
Osheni macho kuachana na mambo ya mademu
huyu anapatikana sana milima ya Uluguru anaitwa African Hoopoe, hiyo ni generic names lakini wana scientifi names zao amabpo kutaja inabidi uwe na mafuta ya alizeti mdomoni usije kujing'ata, wale wa Kiaski anaonekana sana baada tu ya stesheni, wana mingo zao nao hawa
 

Red and Yellow Barbet anapatikana maeneo ya Chuo Kikuu DSM, ANAJENGA KIOTA CHAKE KWENYE UDONGO......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…