Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
- Thread starter
- #341
lakini hawachukui chochote zaidi ya PICHA
Hawa jamaa nimekaa nao zaidi ya miaka 20! Na nimewasoma vizuri mno.
Tunaishi nao ki machale tu! Walipokuja kwetu walikuwa wanauma huku wanapuliza!
Na sisi tunajaribu kufanya kama wao.
Teh teh teh teh!
Waswahili wanasema ndege mjanja hunaswa na mtego mbovu.
Hizo ni mali asili zetu! We ukiona mzungu anapita karibu na hao ndege "PIGA MANATI TU"
Hawana maana hawa!