Ha ha ha. Tupo watu aina nyingi sana humu JF Mkuu Amavubi. Nadhani Kipipili alitaka ujue yeye ndege wake anafananaje, asijue kwa kufanya hivyo anakumbusha wengine mambo ya ajabu sana katika milima na mabonde ya huu uhai wetu binadamu....