Birds, So Cute

nadhani kwa speed kubwa ya kuliwa na nyoka!!
ooohhh.............huruma sana...kuna mada nimepost hapo juu ya sbb za kutoweka kwa kasi kwa ndege duniani, kubwa sana ni uharibifu wa mazingira hasa kutokana na ongezeko la watu, pale chuo UDSM mapori mengi yamejengwa na hivyo kuwakimbiza sana lakini ya nyoka nadhani ni zaidi ya eco system huenda hawa ndio mbadala kwa sasa
 

Namkumbuka huyu ndege sbb tulikuwa tunafundishwa kutamka maneno ya kiingereza kwa rejea ya huyu........How much wood would a woodpecker peck............Huyu anajua sana ishara za kwenye misitu minene na anaoshi kwenye matobo ya miti.................Woodpecker
 

Masked Weaver.....maarufu sana kwa weaving ya viota....ili mayai yasiliwe na nyoka
 

huyu namjua sana huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…