ndio leo nasubiri nipewe salary yangu niakfie mbeleeee, Amavumbi hana chake tena anasema anaenda kulima eti....sijui analima nini huko.................
ndio leo nasubiri nipewe salary yangu niakfie mbeleeee, Amavumbi hana chake tena anasema anaenda kulima eti....sijui analima nini huko.................
katika yasnia ya ndege, Pied (kwa generic name) means black and white, ndege wa black and white wanatumia zaidi initial name ya Pied ...................huyu ndiye Pied Kingfisher, nakutumia Pied nyiongine