iam_Muhammad
Member
- Sep 19, 2017
- 29
- 12
Ushauri:Nina CSEE D2&ACSEE D3. Je Dipl.Biomedical engineering ni course sahihi interms of ajira na maslahi kazini. Naomba ushauri wako mwana JF mwenzangu.
Aaaaaah dogo haifai iyoo, ukiwa humu JF utakutana na wengi, sio wote wanabusara wengine wehu, kwaiyo ukireact nao nawe unakuwa mwehu, kijana jitahidi kuzuwia hasira zako, usifanye watu wote wajue ukikasirika unakuaje.Kumtongoza mama yako
Asante sana ndugu, umeongea maneno ya busara sana. Nimekuelewa vizur, shukran sana!Aaaaaah dogo haifai iyoo, ukiwa humu JF utakutana na wengi, sio wote wanabusara wengine wehu, kwaiyo ukireact nao nawe unakuwa mwehu, kijana jitahidi kuzuwia hasira zako, usifanye watu wote wajue ukikasirika unakuaje.
Ok, kama tayari umepata hiyo nafasi ya kusoma hiyo course basi ww endelea nayo, sio mbaya na haswa ukizingatia kwamba ni course za medical, kila utakapoendelea mbele utagundua kuwa hujapoteza.
kuhusu maslahi kazini ni majaaliwa ya Mwenyewe Allah, enn Muhammad, rizki anatoa Allah, kuna watu wamesoma course zinazoonekana hazina mbele wala nyuma na sasa wanakazi zao za maana sana wanapiga hela kuliko wale walijiona wamechagua course za maana zenhe viashiria vya kutahirika haraka.
Nenda kasoma ndugu yangu sahau kuhusu hela na utajiri, tafuta elimu itakifaaa na ujitunze eeeeeeh dogo.
Haya kweheri, baki salama inshaallah
Hakika umekuwa mtu muelewa, maana nilipoona reply yako moyo ukashtuka sana kwa maneno yale. Bw. AVRAM amekushauri vizuri nikaona sina la kuongezea.Asante sana ndugu, umeongea maneno ya busara sana. Nimekuelewa vizur, shukran sana!