Tetesi: Biomedical engineering

iam_Muhammad

iam_Muhammad

Member
Joined
Sep 19, 2017
Messages
22
Points
45
iam_Muhammad

iam_Muhammad

Member
Joined Sep 19, 2017
22 45
Ushauri:Nina CSEE D2&ACSEE D3. Je Dipl.Biomedical engineering ni course sahihi interms of ajira na maslahi kazini. Naomba ushauri wako mwana JF mwenzangu.
 
jiwe angavu

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
1,763
Points
2,000
jiwe angavu

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
1,763 2,000
Hakuna kozi mbaya..kikubwa ni kupata chance tu.
 
AVRAM

AVRAM

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Messages
283
Points
500
AVRAM

AVRAM

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2017
283 500
Kumtongoza mama yako
Aaaaaah dogo haifai iyoo, ukiwa humu JF utakutana na wengi, sio wote wanabusara wengine wehu, kwaiyo ukireact nao nawe unakuwa mwehu, kijana jitahidi kuzuwia hasira zako, usifanye watu wote wajue ukikasirika unakuaje.

Ok, kama tayari umepata hiyo nafasi ya kusoma hiyo course basi ww endelea nayo, sio mbaya na haswa ukizingatia kwamba ni course za medical, kila utakapoendelea mbele utagundua kuwa hujapoteza.

kuhusu maslahi kazini ni majaaliwa ya Mwenyewe Allah, enn Muhammad, rizki anatoa Allah, kuna watu wamesoma course zinazoonekana hazina mbele wala nyuma na sasa wanakazi zao za maana sana wanapiga hela kuliko wale walijiona wamechagua course za maana zenhe viashiria vya kutahirika haraka.

Nenda kasoma ndugu yangu sahau kuhusu hela na utajiri, tafuta elimu itakifaaa na ujitunze eeeeeeh dogo.

Haya kweheri, baki salama inshaallah
 
Asante sana ndugu, umeongea maneno ya busara sana. Nimekuelewa vizur, shukran sana!
 
Forum statistics

Threads 1,314,902
Members 505,075
Posts 31,841,770
Top