Bachelor of Technical Education in Civil Engineering

WeedLiquorz

JF-Expert Member
May 30, 2022
3,286
5,460
Salaam WanaJamii.

Naomba kujuzwa zaidi juu ya hii Course;

#Wahitimu ni Waalimu (wa Ngazi gani?)
#Je ni Ma-Engineer (kwa viwango gani)?
#Au ni Walimu na MaEngineer kwa wakati mmoja.
#Wanaweza kufanya Shughuli zipi mtaani na kwenye mataasisi?

Kingine chochote ukijuacho nje ya hivyo unaombwa kushare.
 
Attachments

  • Screenshot_20230920-135539_1.jpg
    Screenshot_20230920-135539_1.jpg
    29.4 KB · Views: 10
Salaam WanaJamii.

Naomba kujuzwa zaidi juu ya hii Course;

#Wahitimu ni Waalimu (wa Ngazi gani?)
#Je ni Ma-Engineer (kwa viwango gani)?
#Au ni Walimu na MaEngineer kwa wakati mmoja.
#Wanaweza kufanya Shughuli zipi mtaani na kwenye mataasisi?

Kingine chochote ukijuacho nje ya hivyo unaombwa kushare.
Hao ni walimu sema watakua wanafundisha vyuo vya ufundi.

NB: kama unapenda civil kasome civil as civil ma sio education.
 
Hao ni walimu sema watakua wanafundisha vyuo vya ufundi.

NB: kama unapenda civil kasome civil as civil ma sio education.
Nimekupata Sir. Hii unaicompare vipoi na Education in Science za kawaida kama Physics na Chemistry
 
Hao ni walimu wanaandliwa kufundisha elimu ya ufundi kwa sekondari kama mtaala mpya unopendekezwa utapita.
Kama huna passion na ualimu usisome utavunjik moyo ukipangwa sekondari ukapige pindi.
 
Mambo ya maboresho ya mtaala Mpya wa Elimu wa 2014 maboresho ya 2023
 
Nimekupata Sir. Hii unaicompare vipoi na Education in Science za kawaida kama Physics na Chemistry
Naifananisha hivyo japo imenifanya niwaze upya apo kwenye 4years!

Ni risky kuisoma alafu unamaliza ERB wanasema hawawatambui!

NB: wanaomaliza kozi ya architecture ya MUST hawatambuliwi na bodi ya architects Tz.. kuwa makini na hiyo kozi!
 
Shukran Mkuu
 
Back
Top Bottom