Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
Wazo zuri, nafikiria namna nitakavyoweza kushiriki kwani naamini vizazi vijavyo kujua mchango wa Regia.
Uandishi wa Kitabu cha Marehemu Regia Mtema (Biography)
Kamati Teule iliyochaguliwa kuanzisha Taasisi ya Regia Mtema Foundation imedhamiria kufuatilia kuandikwa kwa kitabu cha Marehemu Regia Mtema kufuatia azimio lililoafikiwa katika kikao cha kwanza cha Marafiki wa Regia pale British Council na baadaye kuwekewa uzito katika kikao cha Kamati Teule.
Kamati Teule sasa inapenda kutoa fursa ya kualika mtu au kampuni yeyote ambayo inaweza kuifanya kazi hiyo ya uandishi kwa uharaka, ustadi na ubora wa hali ya juu. Itahitajika kujua mchanganuo wa gharama zote za zoezi zima.
Kazi hii inatarajiwa itahusisha kuweka kumbukumbu ya historia ya Regia, Kazi mbalimbali alizofanya, picha nk. nk.
Kama wewe ni mojawapo wa waandishi wa Biography au unamfahamu yeyote, tafadhali naomba tuwasiliane moja kwa moja kwa PM au kupitia barua pepe sam@danimex.com.
Karibu sana. Unaweza kutoa Mchango wako wa hali na mali.
Kama una Mwandishi mzuri unamfahamu tafadhali tujulishe.
Sijaona mahali Santus ama mwingine yeyote ameandika kuwa kitabu kikiandikwa Regia atafufuka katika mwili?sikiliza kaka, najua uchungu wa kufiwa, lakini niambieni kelel yote hii ya regia, regia, regia, kwa lipi hasa?? mwacheni dada wa watu apumzike kwa amani!
IMETOSHA!!
Nafikiri mngeanza na Wangwe kwanza kabla ya regia..anyway uamuzi ni wenu
Hata mie inanishangaza sana watu humu walivyo bize na huyo Regia ! Ni mtoto wa juzi tu, sasa iweje amefanya makuuuuubwa mpaka muunde tume ya vitabu !? Sanasana mtaandika shule alisoma ! Hayo Mahaba yenu bakini nayo moyoni mwenu msimgeuze mradi, ushauri jengeni kisima au shule ili apate sadaka 'tul jaari'ah'Sijaona mahali Santus ama mwingine yeyote ameandika kuwa kitabu kikiandikwa Regia atafufuka katika mwili?
Na sijui anachoshwaje kwa kukumbukwa?
Wangwe ni Mbunge wa kuchaguliwa na Regia ni wa kuteuliwa ! Sasa yupi alikuwa na watu !? Hivi Regia aliwahi kuolewa ? Isije ikawa ....................!Wangwe hakuwa anajichanganya na watu km regia
Hata mie inanishangaza sana watu humu walivyo bize na huyo Regia ! Ni mtoto wa juzi tu, sasa iweje amefanya makuuuuubwa mpaka muunde tume ya vitabu !? Sanasana mtaandika shule alisoma ! Hayo Mahaba yenu bakini nayo moyoni mwenu msimgeuze mradi, ushauri jengeni kisima au shule ili apate sadaka 'tul jaari'ah'
Hayo makubwa ya muda mchache ni yapi !? Wakati mwingine hata Baba akileta kitoweo nyumbani mnamsifia wakati ni wajibu wake ! Alifanya kazi ya kipato gani mpaka awe na uwezo wa kuchangia mashule na kujenga visima ? Hata EL akifa leo, tutaambiwa na Nape tuige mfano wake ................................. aaaaah ! Mnatuchosha banaa !kawepo muda mchache lakini kafanya makubwa..labda kama hukuwa ukifuatilia kazi zake.. na hata cku ya kumuaga pale karimjee wabunge walishauriwa na spika waige na waishi kama regia..nadhani hata yeye alijua hawezi kuishi kama regia..ni vema japo hayupo lakini akaendelea kuishi..kama visima alishajenga mwenyewe..na shule alishachangia mabati..so kama ni sadaka alishaikamilisha mwenyewe..
Hivi Regia aliwahi kuolewa ? Isije ikawa ....................!
Hata mie inanishangaza sana watu humu walivyo bize na huyo Regia ! Ni mtoto wa juzi tu, sasa iweje amefanya makuuuuubwa mpaka muunde tume ya vitabu !? Sanasana mtaandika shule alisoma ! Hayo Mahaba yenu bakini nayo moyoni mwenu msimgeuze mradi, ushauri jengeni kisima au shule ili apate sadaka 'tul jaari'ah'