eucalyptos
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 391
- 139
Kwa wanaohitaji biogas kwaajili ya kupikia tuwasiliane @ solutionartz@yahoo.com
Kwa wanaohitaji biogas kwaajili ya kupikia tuwasiliane @ solutionartz@yahoo.com
nafuga kuku je itanifaa ,kitimoto je?nielimishe
Kwa wanaohitaji biogas kwaajili ya kupikia tuwasiliane @ solutionartz@yahoo.com
Tangazo lako ni very general..a lot of conflicting scenarios can fit ur ad.Kwa wanaohitaji biogas kwaajili ya kupikia tuwasiliane @ solutionartz@yahoo.com
Labda mi sijakuelewa ila kwa haraka haraka naona kama tangazo lako halijakamilika!!! Kwani hiyo gesi unaiuza ikiwa kwenye mitungi tayari au wewe unafanya installations za mitambo ya kuzalisha biogas?? Je unafanya hizi kazi zako Dar au hata mikoani? etc
Biashara ni matangazo kwa hiyo mkuu jitahidi kuweka information complete ili walengwa wajijue otherwise utapata e-mails 1000 afu 10 tu ndo ziwe prospective.
All the best....