falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
- Thread starter
-
- #121
Na kwenda kupiga picha na mastaa wa huko only thatKazi yenu ni kwenda ulaya Na totoz kwa kisingizio cha kutangaza utalii, huo utalii mnoenda kuufanya Na totoz ni wa aina gani magamba nyie
Asante sana mkuu,Sitaki kumlaumu huyu Dada...ndivyo alivyo aminishwa..nakujitetea kwake ni sawa na kutafuta namna ya kufunika kombe mwanaharam apite...mimi nailaumu Serikali ya chama cha mapinduzi...kwasababu ya kuwazoesha majirani kujiropokea wapendavyo nao kukaa kimya
Baadhi ya vivutio vyetu nchi jirani wananufaika navyo lkn serikali ya ccm imekaa tu BWEEEE...
Umeonaeeee halafu tukisema tunatukanwaNa kwenda kupiga picha na mastaa wa huko only that
Wewe ni maiti inayoongeaMambo kama haya Ukawa wanachangia kwa kuhamasisha wananchi waandamane badala ya kufanya shughuli za kimaendeleo
Hapa kwa jinsi walivyo na huba na mkulu mwenyewe, ukiwakumbusha tuu kuwa huyo binti ni mtoto wa Rafiki mkubwa wa mzee Pombe watageuza kibao kuwa mnamsakama binti wa watu kwa vile baba yake ni swahiba wa Pombe na kuwa huo ni wivu tuu wa kushindwa uchaguziAchana na hawa watu, angekuwa amesema ccm ni ya kenya wangekimbia nguo mkononi kukanusha ila maslahi ya nchi hawana habari ndio maana nchi imejaa walafi wa madaraka kutoka kwenye ccm, wanajali maslahi ya chama kuliko nchi.
Huo mkutano ungefanyika ukanda wa maziwa makuu ungesikia mbwembwe nyingi,lkn huko majuu kuna kidhunguInawekana Tz haikuwa Na mwakilishi, angekuwepo pengine angekanusha na pengine alikuwapo lkn alikuwa hajui, tumelala sana aisee hadi aibu
Wakenya wenzetu wapo mbali sana,sisi tumebakia kukimbizana na wanasiasa wa vyama vya pinzaniUmesema maneno mazuri saaana ila umekosea sehemu moja, umekosea pale ulipompinga Rais wa zamani wa Kenya kuwa Watanzania ni maiti, tumsubiri Yesu aje atufufue, si umeona wakenya wa wameamka!?
Kdhungu chake ni cha hali ya juu sana,hakuna zeeeee,zeeeeeeeKwani kenyata si yupo Arusha kwenye mkutano?
Labda aje waziri kutoka kenya au ulayaKenya is bulldozing us in tourism and advertise all what we have as theirs,we Tanzanians are quite and take it easy,,,,,,It isn't acceptable we need to do aggressive advertising of our national parks etc
Adui no moja wa rasilimali zetu ni wale walioiba wanyanya hai na kuwapeleka uarabuniMimi nitakubali ombi la msamaha huo kama atatumia jukwaa hilo hilo alilotumia kupotosha kurekebisha upotoshwaji huo. Vinginevyo...bado namuonda 'adui' namba moja juu ya rasilimali yetu ya Olduvai Gorge.
Kwa upande huo uko sahihi...lakini kwa upande wa Olduvai Gorge bado nashikilia msimamo huo wa awaliAdui no moja wa rasilimali zetu ni wale walioiba wanyanya hai na kuwapeleka uarabuni
Acha mihemuko subiri 2010Haya yote yanatokana Na uongozi mbovu wa serikali ya CCM, badala ya kufanya vya maana wako bize Na upinzani, chama na serikali vya ovyo sana kuwahi tokea duniani
Doesn't sound like an apology though...That was a Freudian slip? Really?
Does she know what a Freudian slip is?
Did she mean a slip of the tongue, maybe..?
Doesn't sound like an apology though...
Nini tofauti kati ya Freudian slip na slip of the tongue. ? Nafahamu Sigmund Freud alijaribu kuelewa chanzo cha kueleza ulimi ndio maana kuitwa Freudian slip.'
Inaelekea huyo Dada amesoma lakini hajaelimika.Tutamfundisha.Kabisa maana imeleta kutofahamu tena ingekuwa vema Kama hata viongozi wa Kenya wakalisemea hili Kama kweli binti aliteleza lakini kuendelea kukaa kimya ni kufurahishwa na alichokifanya na walikusudia hili. Huyu Rose Odinga anaona ni jambo dogo Sana mpaka anaenda kuomba msamaha Instagram as if alilisemea instagram mbaya zaidi kazidi kupotesha kwa kuita lake Nyasa ni lake Malawi halafu anataka tu take easy? Tena aite media kubwa zote duniani asitufanye mapopoma.