Binti yake Raila Odinga aiomba msamaha Tanzania

Binti yake Raila Odinga aiomba msamaha Tanzania

Aliposemea hayo maneno ndiyo anatakiwa akaombee radhi au hawaite waandishi wa habari pamoja na balozi wa Tanzania nchini Kenya siyo kuombea radhi Facebook.
Ritz mkuu rudi shule hata kuandika huwezi
*Hawaite =awaite
 
Speech yake aliitoa miezi Saba iliyopita mkuu, ningekua mwandishi wa habari ningewatafuta mpaka niwapate Watanzania waliotuwakilisha siku hiyo
Mkuu watanzania hawakuelewa kiingereza hivyo walitoka patupu,tusiwalaumu walioenda kutuwakilisha
 
Such an apology may mean another insult. she could do better than that. I find no reason to accept it.
 
Hivi kwenye huo mkutano hakukua na mwakilishi wa Kitanzania!? Au ndio yale yale aliyayesema Mbowe kwamba Watanzania tukiwa nje ya nchi hua tupo so inferior!
 
Serikali ya Tanzania inatakiwa imtimue balozi wa Kenya hapa Tanzania, na kumrudisha nyumbani yule wakwetu.......! Tendo hilo likiambatanishwa na na onyo kali ya Tabia ya Wakenya kuongea owongo wa makusudi juu ya Tanzania, itafanya dunia kuelewa ukweli......na hata tukiombana msamaha dunia itakuwa imepata picha kamili!
 
swala la utalii ni la kila mtu wala usihusishe na siasa wakati unailaumu ccm mwenyekiti wa chama chenu Mbowe alitamka bungeni kupinga wazawa kupewa upendeleo wa vitalu vya uwindaji kwa kudai watanzania hawajawa na uwezo wa kuviendesha halafu unalaumu ccm
 
Tunaomba na aliyeandika kuwa msanii Diamond Platinumz ni wa Kenya ilhali ni msanii kutoka Tanzania naye pia atuombe radhi kupitia Instagram kazi inaisha.
Hahaa....
 
Sasa hata kiswahili chenyewe hujui,bro kubali mabadiliko
Teh teh teh!!

Bora ungekaa kimya tu wewe ndiyo unajua kiswahili? Hebu jisome hapa chini.

"Nisieleweke vibaya jamani ila soon tukipata platform ya kuaddres kimataifa hatutakata tamaa kusema Mikumi iko Kenya manake najua hizi nafasi Watanzania hawazipatagi sijui kwanini tunazipataga sie tuu"

Hawazipatagi = hawazipati

Tunazipataga = tunazipata.

Ndiyo maana mchina kapata B kwenye kiwahili sababu yenu nyie.
 
Kwani hilo bonde lina umuhimu gani kwa Tanzania, kama mna rasilimali nyingi na ardhi kubwa nzuri tumeshindwa kujiendeleza, tunapiga kelele kuhusu hilo bonde ili iweje ijapokuwa hata akisema na haisaidii hilo ziwa kuwepo Kenya.
 
Umeona yaani ukisoma kiingereza cha ameongea kinafiki wala hajaomba msamaha. Wakenya wanatuchukulia poa sana hakuna cha brother wala sisters hapa wanafiki wakubwa na siwapendi.


kwa ujumla ni kwamba tamko lake limewekwa kwenye kumbukumnu muhimu za hao wazungu kwamba Oldivai ipo kenya sasa kazi kwetu kikanusha.
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Kenya wanajitambua, Watanzania hatujitambui. Ukitaka kuamini hili subiri matokeo ya uchaguzi Zanzibar, CCM imebaka Demokrasia na bado tulivyomatahira tutaichagua CCM tukipumbazwa na wimbo wa amani.
 
Mkuu hiki chama cha mazombie kina deni kubwa mno kwa Mungu, kwanza kabisa kudumaza akili za watu hata wasijielewe Na kuelewa nn kinajiri kibaya ama kizuri, badala yake kila wafanyiwacho kwao ni sawa tu, mapfrofesa, ma injinia, madokta hawajui nafasi zao kazi yao ni kugonga meza tu ili mradi wakuze matumbo yao, wajipendekeze wapate vyeo, Naichukia serikali ya CCM
Tuna Rasilimali nyingi saaaana, na bado tunapiga kelele kwamba mtu kutangaza bonde lipo Kenya, tunapiga kelele utadhani hilo bonde limehamishwa physically.
Tuna Milima, mabonde, Mito, Bahari, Bandari, Madini, Gas, Ardhi nzuri n.k na bado masikini. Kwanini tusionekane sisi matahira.
Ile kesi ya ziwa Nyassa ingelekwa kwa Mungu, huenda Mungu angeamua lile ziwa na Gas yote ipelekwe Malawi ili iwasaidie na sio Tanzania.
 
Kuomba msamaha kwenye instagram bado anatudhalilisha sana. Haiwezekani ametamtamka officially alafu anakuja kuomba msamaha rejareja. Alitakiwa kwenye moja ya mikutano kama hii ya east africa aombe msamaha huku baadhi ya hao waandishi wa habari walio kuwepo kwenye mkutano huo wakiwepo

Tabia ya unyang,au haiwezi kwisha. Wameridhi kwa mababu zao
 
Mbona amejibu kwa dhihaka namna hii?
Sisi wenyewe tunajidhahaki, atashindwa kutudhihaki? Kwa utajiri tuliopewa Watanzania na maisha tunayoishi, mtu akitudhihaki wala hakosei. Mungu atupe nini Watanzania? Tunapiga domo kisa maneno ya huyo binti, mbona hatujapiga domo dunia nzima itusikie kuhusu EPA, ESCROW, ZANZIBAR, RICHMOND n.k
 
Yeah Kazi kwetu Na serikali yetu tukufu kuifanya dunia ijue ukweli kuhusu mengi walokwisha jitangazia, ndio tutumie polisi Na jeshi Na pesa pia kujingazia Mali zetu
Ngoja siku tuwe serious ndo tutafanya haya, na mpaka tujitambue wenzetu wako mbali saaana. Wakenya wametupiga gap kila eneo, mpaka michezo.
 
Hiyo ndiyo serikali yetu mkuu,kuzaliwa tz ni mkosi
Nakubaliana na usemacho kwa 100% japo kuna wehu watapinga, hii nchi ni mkosi. Bandari pekee wangepewa Rwanda wangekuwa mbali mno, lakini angalia sisi madudu tufanyayo juu ya Bandari.
 
Back
Top Bottom