habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Binti Odinga yupo sahihi wala sina neno juu yake, serikali ya CCM imetukosea sana watanzania bado inaendelea kutufanyia figisufigisu, serikali ya CCM ingalikuwa iko macho km kupekua Nyumba za wabunge Leo Hii tusingekuwa tunaongelea hili, binti Odinga katumia fursa baada ya kujua serikali ya CCM imelala hata watu wake wanakoroma,Serikali ya CCM sijui imekukosea nini, ameongea bint wa Raila wewe unahamishia ugomvi kwa serikali kwanini usijitwishe mabomu ukamvaa wewe katika platform zingine. Halafu mwenzio ameomba msamaha kwamba alikosea sasa wewe bado unataka kugeuza kichaka kwa stress zako.