habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Binti Odinga yupo sahihi wala sina neno juu yake, serikali ya CCM imetukosea sana watanzania bado inaendelea kutufanyia figisufigisu, serikali ya CCM ingalikuwa iko macho km kupekua Nyumba za wabunge Leo Hii tusingekuwa tunaongelea hili, binti Odinga katumia fursa baada ya kujua serikali ya CCM imelala hata watu wake wanakoroma,Serikali ya CCM sijui imekukosea nini, ameongea bint wa Raila wewe unahamishia ugomvi kwa serikali kwanini usijitwishe mabomu ukamvaa wewe katika platform zingine. Halafu mwenzio ameomba msamaha kwamba alikosea sasa wewe bado unataka kugeuza kichaka kwa stress zako.
Baada ya kujitanga mbele huko, badala yake tunamtangaza Magufuli kwa kutumia ikulu ndogo Arusha,Hiyo ndiyo serikali yetu mkuu,kuzaliwa tz ni mkosi
Ni kweli kabisa mkuu naona Intelejensia yao inaonyesha kuwa magu akifanyia kazi arusha basi jimbo litarudi ccmBaada ya kujitanga mbele huko, badala yake tunamtangaza Magufuli kwa kutumia ikulu ndogo Arusha,
Ajitokeze pia hadharani akili huo ujinga wake maana aliongea mchana kweupe.
Bullshit! She based her next statement on the supposed "Freudian slip". If in fact she had made an honest mistake, when she went onto finish her statement about how all those in the audience were by default Kenyan because supposedly that is where you find the cradle of civilization, she would have realized that she had made a mistake. This was clearly a prepared speech and she would have practiced it prior to delivering it. So either she was grossly misinformed or she unashamedly chose to ignore facts so that she can serve up a cliche.
I wonderThat was a Freudian slip? Really?
Does she know what a Freudian slip is?
Did she mean a slip of the tongue, maybe..?
I wonder
Freud·i·an slip
noun
- an unintentional error regarded as revealing subconscious feelings.
Kuomba msamaha kwenye instagram bado anatudhalilisha sana. Haiwezekani ametamtamka officially alafu anakuja kuomba msamaha rejareja. Alitakiwa kwenye moja ya mikutano kama hii ya east africa aombe msamaha huku baadhi ya hao waandishi wa habari walio kuwepo kwenye mkutano huo wakiwepo
Nyie gombanieni umeya Wa Dar na halmashauri kilombero, kazi waachieni WakenyaAjitokeze pia hadharani akili huo ujinga wake maana aliongea mchana kweupe.
Hata instagram ni ya kimataifa so ameshamaliza kuomba msamahaHuyu anatakiwa ajitokeze kwa media tena za kimataifa na kutuomba msamaha kwa udanganyifu alioufanya tena kwa makusudi kabisa
Sasa na nyie mtafute platfom kama mtasikilizwa na kiingereza chenuMtoto wa nyang'au! Hana haki ya kusema hivyo, hata kama sisi tumevikalia tu. Yaani mtu ajimilikishe mali zako kwa kuwa wewe hujazitafutia soko?! Mitanzania mingine kama imelogwa! Sawa tunahitaji kuvifanyia kazi, lakini si kusema bora wao wa vitumie maana wao wana njaa .....%%$$£"!
Halafu hiyo apology yake ni ni dhihaka, bado anasitisitiza kilicho gundulika Olduvai (masalia ya binadamu wa kwanza) kilikuwa kenya eti Olorgessaile! Akafie mbali na ulafi wake
Issue ya sefue nayo wangeitupia Instagram tuHata instagram ni ya kimataifa so ameshamaliza kuomba msamaha
Kwani hapo instagram na facebook si ni hadharani pia,au ulitaka asimame lumumba na microphone?Ajitokeze pia hadharani akili huo ujinga wake maana aliongea mchana kweupe.