Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

Kwani wewe maamuzi yako ni nini b'se inaonesha utakachoshauriwa hapa ndicho utakachofanya
 
wenyewe wanasemaga eti binamu ni nyama ya hamu,hii imekuwa ya shubiri??,kula kitu hiyo,c inaruhusiwa hyo weweee
 
mapenzi yasikutawale ndani ya nyumba ya mjomba,katafute demu mwingine ila si huyo,hapo utakunywa maji kwa karai, acha ubwege, tumia akili, msemee kwa mjomba ili afahamu,na kama atakubali uwe unampa dozi ya uhakika na si ya kubahatisha, fanya fasta!!!
 

Mwenzio hataki ukoo uende mbaliii...,hata ivyo "Binamu kinyama cha hamu"
 

Mupeeee!! Mupe raha mtoto asije kufaulu na hamu zake, ila mmh mpaka kakutamkia mwenyewe?? Kweli?Basi ni jasiri halafu mzoefu
 
wewe hapo unategwa ili kutafutiwa njia ya kufukuzwa na shangazi yako ambaye ni mke wa mjomba wako:yell:
 

Mupeeee!! Mupe raha mtoto asije kufaulu na hamu zake, ila mmh mpaka kakutamkia mwenyewe?? Kweli?Basi ni jasiri halafu mzoefu
 

Mwambie shangazi yake ambaye ni mama yako ataongea naye
 
Mkuu usisikilize vitisho vya Lara 1, mtu mzima hatishiwi nyau! Mkwangue huyo binamu yako ili akuheshimu, mbona binamu ni nyama ya hamu? Tom. ba huyo anawashwa, tena ukishamaliza tuletee sledi ingine hapa ututhibitishie kuwa wewe ni kidume!
 

du sikuwahi kufikiria hii kitu kabsa,what an insight!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…