Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

kitendo cha kuomba ushauri kinaonyesha tayari uko tayari kutembea nae,kama ungejua huyo ni ndugu yako na haiwezekani kutembea naye na ukajua daima ni NO usingeuliza,au unatafuta wa kukufariji kufanya uzinzi? Tuliza genye zako,huyo ndugu yako.......
 
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

Kwa mjomba umekuja lini na umefuata nini? Ina maana kila binti atakaekwambia anakupenda utataka uwe na uhusiano nae wa kimapenzi?

Ondoka hapo kwa mjomba kama kweli unataka ushauri wa kukuokoa na hilo janga unalotaka kujiingiza.

Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake
 
Fanya kile ambacho kila mwanaume angefanya na kile ambacho binti anataka kufanyiwa pia
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!

Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti!

Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.

Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu.

ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!

Dah kama kuna kaukweli ndani!!, lakini anyway we mpige tu mjebe huyo binamu kwani kama ni kufukuzwa huna kwenu bwana!!!!, lakini ni ushauri tu.
 
Jiheshimu kwanza, utaheshimiwa !!

angalia usije ny-ea kwenye sahani uliyekulia. epuka zinaa kwa kila hoja.
 
Lara1 kasema yote "kazi ni kwako" kuchagua chuya na nnchele
 
alishindwa mzee wetu adam bustanini eden wewe utaweza?mle tu kataka mwenyewe wala hakuna mtego kaipenda mupeeeeee
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!

Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti!

Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.

Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu.

ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!
Nimeipenda hii tahadhari, anapaswa kuwa makini na kila anachokifanya ili kulinda hifadhi na heshima kwa mmjomba.
 
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

hii dhambi inakuhusu!
 
Umemwambia mjomba wako kuwa huyo binti si damu yake ili amwondee rasmi kwenye urithi.
kama bado mtonye fasta.
 
Mpe kinachostahili huwezi hama hapo kwani kuna ulazima wa kukaa kwa mjomba?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
magizo hayo...
vp tukikushauri umgegede utamgegeda?.....
 
Tumia Bana Lakini mke wajomba akutaki ukaeapo ndo mtego wamekuandalia

dege mjinga unaswa na Tundu bovu
xaxa kama we mjanja 2mia
kama mjinga utanaswa na mjomba

kosa 1 mapoli 10 Mbona Wengine a2yapati mm mwenyewe likizo naenda kwa xhangazi lakini mtoto washangazi animaindi xiitoke kwangu...,..."xilazi damu"
 
shetani huyo anakaribia kupata mfuasi mpya...fanya lililokupeleka huyo ni kama dada yako
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!

Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti!

Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.

Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu.

ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!

Nimependa weledi wako
 
Back
Top Bottom