Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

Binamu huyo nyama ya hamu, mkamue!! tena hata kuoa!!
 
kula mzigo bwana wee usijejutie nafsi bure..
 
nakhil huo ni mtego dogo
nitafute nikusimulie wangu japo haitofautiani na wako
mm na mdogo wa mke wa mjomba na binti wa mjomba mkubwa
cheza nae mbali huyo shetani mbaya sana
 
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

...wewe boya kweli!!! mpaka gugudelo linakuongoza JAMVINI hujuwi cha kufanya!!!!! dadadeki oboya JANGA LA TAIFA BOGOLAND!!...bora boya linaokoa kuliko nambariwani!!!!!
 
Pole sana mkuu ebu mchukulie huyo binti kama dada ako na umshinde shetani.
 
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?
Mega tu!!
 
Niunganishe naye kmya kimya nikupunguzie hizo karaa nawe uendelee kuwa safe ukila na kulala bure kwa mjomba!
 
Kama unataka kufukuzwa saa8 usiku na mjini mgeni chezea binamu... ebu mwenzangu fanya lilokuleta nna hakika una uwezo wakuishi mjini peke yako bila msaada wa mjomba,sasa usisahau kilicho kuleta mjini...........
 
Huwa mara nyingi wengi wanaokuja kuomba ushauri humu kuhusu la kufanya huwa wanakuwa wamekwishafanya na wanataka kujua wengine wanasema nini juu ya kile walichokifanya.Hebu jiulize mtu unashindwaje kumkwepa mtoto wa mjomba wako mpaka uje kuomba ushauri kama hujammega tayari?Kweli heshima kwenye familia zetu imepotea na maadili yanazidi kufifia.
 
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

....kila mbinu imekushinda, naona uko tayari...achana na dhambi hiyo,be faithful..dont try it...
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!

Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti!

Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.

Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu.

ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!

Km humu mna magreat thinkers basi UNASHIKA NAFASI ZA JUU MNO.... HONGERA.
 
...acha zinaa mdogo wangu,hata kama ulikuwa jela hii si sawaaa...
 
Back
Top Bottom