Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

Vipi anao msambwanda?
Hajakutangazia shida yoyote?
Mwisho kabisa ujue kwamba unaliwakilisha taifa la Zanzibar na watu wake, kwa hiyo ujitahidi.
 
Halafu naomba unirushie number pm ya binti mbichi mbichi mwenye rangi ya wakoloni. But awe anajua kiingereza
 
Mkuu hata Kama utahitaji Vumbi la kongo almaarifu Putururu tutakufungishia tu ilmradi usituangushe tu Poti...

Typed Using KIDOLE
 
Mkuu hamna site za kiingereza? naona hiyo lugha siilewi kabisa
ziko nyingi sana mkuu kwenye hizo ulizotumia ondoa .ch ukiweka hiyo dot ch inakuwa ni site hiyohiyo lakini ya lugha nyingine kijerumani, kifaransa, kiswiss ama kiitalty hizo za kiingereza sachi hivi Parship, meetic,love scout 24, eDarling, connecting singles, swiss friends dates na match pamoja na Elite singles...zipo nyingi mno jaribu hizo
 
ziko nyingi sana mkuu kwenye hizo ulizotumia ondoa .ch ukiweka hiyo dot ch inakuwa ni site hiyohiyo lakini ya lugha nyingine kijerumani, kifaransa au kiitalty hizo za kiingereza sachi hivi Parship, meetic,love scout 24, eDarling, connecting singles, swiss friends dates na match pamoja na Elite singles...zipo nyingi mno jaribu hizo
Nashkuru sana kiongozi
 
mijitu ya ughaibuni akili fupi

badala ikae iombe corona iishe inawaza zinaa
 
ingia hapa Parship.ch, meeting.ch ama lovescout24.ch kuna watoto wa uswisi wengi sana kama unajua lugha pambana nao hapo hii ndio mitandao maarufu huku
Lugha gan? Kiswisi au kiingereza

..................................
 
Back
Top Bottom