Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

Mkuu kwa kipindi hiki ambacho kampuni Yenu iko kwenye karantine. Njoo bern tufanye kazi za ufundi mambo yakiwa vizuri unaludi kazini kiroho Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa kipindi hiki ambacho kampuni Yenu iko kwenye karantine. Njoo bern tufanye kazi za ufundi mambo yakiwa vizuri unaludi kazini kiroho Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
uko Bern ukanda wa kule milimani mkuu? halafu huko mnaongea kijerumani sana kitu ambacho mimi kinanipa shida
niachie namba PM nikucheki whatsapp
 
Back
Top Bottom