Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

Ndugu yangu hiyo supermarket niliwahi kufanya shopping hapo kitambo 2017 nikiwa na mtoto mkali wa kifaransa ni bonge la duka si mchezo
na huyo dada tia mimba kabisa ndugu tuwe na damu nyingi huko ulaya
 
Mkuu unani-inspire sana na hizo stori zako, corona pandemic ikitulia nna safari ya kwenda croatia sasa nlikua nataka nikutafute kama hutojali nataka unitembeze viwanja vya huko uswizini ila nlikua nataka kwanza kujua umbali wa kutoka croatia kuja huko, je kuna usafiri wa kawaida toka croatia kuja huko ukiachana na ndege? nimecheki ramani ya dunia nimeona kuna meritime border ya kuibukia italy afu ndo naweza kutimba huko
 
croatia sijawahi fika mkuu ila nina uhakika utakuwepo ulaya iko mbali sana kimuundo mbinu
 
Hapana sio huyo,nipe mwingine yoyote tu wa huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hili suala lako ni zito sana kutoa namba ya mtu bila ridhaa yake ni jambo gumu na hawa wazungu sio kama wabongo inaweza kuleta mambo mengine kabisa huwezi kucheki kwenye site za kiswisi mkuu ukaanzan nao mwenyewe?
 
croatia sijawahi fika mkuu ila nina uhakikai utakuwepo ulaya iko mbali sana kimuundo mbinu
Ok, nimecheki vizuri hapa kumbe kuna nchi kama tatu unazipita ndo ufike huko...itakua ni mbali naona
 
Back
Top Bottom