Binti wa kinigeria aliyefanya mapenzi na nyani afariki

Hivi kuamini kitu ni lazima kiwe kimetapakaa huko duniani ndio kiwe kweli? Hizi ni sawa na hekaya za abunuwasi. Ni hekaya ili mjifunze na muweze kujua kuna-uwezekano wa kulaghaiwa na hatimaye kupoteza maisha.

Somo: Chunga Tamaa Mbaya!

Makofi kwa msimuliaji.
 
Hapa kuna mambo mawili ambayo yanaweza kusadifu uongo.

1. Limetumika jina la Alhaji makusudi ili kuchafua taswira ya maalhaji. Kwa wale wanao jua ma alhaji na kitendo kilichoelezwa binafsi nauona mpakazo (huo ni mtazamo wangu)

2. Funza kwa namna yoyote ile hawawezi kujitengeneza kwenye mwili wa binadamu ndani ya dakika chache halafu waanze kudondoka kama wanavyo dondoka kwenye mzoga.

Kwa mantiki hiyo. Kama namba mbili ni ni kweli basi hapa kuna upishi wa habari hata kwenye namba 1. Huu ni uongo wa mchana kweupe.

Swadakta wa Lushoto (a.k.a Mzee wa pweza).
 
naunga mkono fact zako mkuu isipokuwa hiyo ya alhaji kusngiziwa.....binadamu ni binadamu tu kaka..achana na udini
 
Kama kweli hii ilifanywa na alhaji basi naona ni kukomoa mtu wa dini nyingine
 
View attachment 55726

Huyu ndiye msichana aliyeliwa na Nyani..... kwa habari zaidi bofya hiyo link hapo chini...duh!! Kweli Nyani alifaidi...!!

Shocker: Young Nigerian Lady died after having sex with a monkey - Naijapals

Kia!! What A fcuk? This Sweet Girl having sex with a monkey? O.M.G >: (such a very beautiful Lady wey go easily get a Responsible Husband with abeg .... now your greediness don lead you to grave and I'm very sure na Brazilian Hair, Blackberry Porsche and other expensive things cause all this ...
shocked.gif
shocked.gif
shocked.gif
shocked.gif
shocked.gif

Funza ni matoto ya inzi. Sasa unataka kuniambia kuwa kwa muda huo tu inzi walikuwa tayari wameisha ingia na kutaga na mayai yalisha komaa mpaka kuwa funza? Mi sijaelewa vema au labda mi ni mgumu kuelewa...

Haijulikani ni nini kilichomuua, kwa uzoefu wangu binafsi nadhani huyu dada amepata severe infection ya bacteria ambao walikuwa very virulent yaani wenye uwezo mkubwa wa kushambulia mwili wa mtu. Hawa bacteria wametoka kwa huyo nyani hivyo wanaweza kuwa ni wageni kabisa kwenye miili ya kibinadamu na walikuta ulinzi wa huyo dada (immune system) haikotayari kupambanana nao hivyo kwa haraka haraka wakashambulia na kumletea mauti chapu chapu.

Funza hawawezi kuua, ila uwepo wao ni significant kwani unaashiria kuwa huyo nyani alikuwa mchafu kupindukia na kwa ajili ya huo uchafu ndo maana nasema ana hifadhi wadudu kama bacteria, virus, fungus nk lakini wenye uwezo wa kuua chapu chapu kati ya hao ni bacteria.

Sasa swala la funza kuonekana baada ya masaa machache pia linategemea ni nini kiliingia ndai ya uke wa huyo binti, je ni mayai au vifunza vichanga? kama ni vifunza vichanga basi vitatoka baada ya dakika chache tu, kama ni mayai pia itategemea yalikuwa stage gani yaani muda uliobaki kabla ya kuangulia, kama yalishakomaa yataangulia na kuwa funza baada ya masaa machache, joto joto na umaji maji (wetnes) ndani ya uke wa binadamu ni mazingira stahiki kwa kukuza hayo mayai ya funza na kutotoa vifunza baada ya muda mfupi tu.

Hapa kama ingekuwa si nchi ya kiafrika huyo alhaj angekuwa tayari yuko rumande akikabiliwa na mashitaka ya kufuga mnyama bila kumpatia huduma za tiba hali iliyopelekea kumwambukiza binadamu na kumletea mauti, makosa mengine ni kumfanyishia ngono na binadamu kinyume na desturi na tatu ni kufuga nyani ndani ya public place nk nk
 
kuna mtu kule Naijapal kauliza hivi 'poster how do you know about the story or are you the monkey ?'
 
Hapa kuna mambo mawili ambayo yanaweza kusadifu uongo.

1. Limetumika jina la Alhaji makusudi ili kuchafua taswira ya maalhaji. Kwa wale wanao jua ma alhaji na kitendo kilichoelezwa binafsi nauona mpakazo (huo ni mtazamo wangu)

2. Funza kwa namna yoyote ile hawawezi kujitengeneza kwenye mwili wa binadamu ndani ya dakika chache halafu waanze kudondoka kama wanavyo dondoka kwenye mzoga.

Kwa mantiki hiyo. Kama namba mbili ni ni kweli basi hapa kuna upishi wa habari hata kwenye namba 1. Huu ni uongo wa mchana kweupe.

Pengine ikawa ni ndumba mkuu...Wanaija wabaya sana kwenye hiyo mambo
 
Hawa wanawake hadi nguruwe hua wanaduu nao but sidhani km hicho ndo kilikua chanzo cha umauti wa huyu msaka f eza kwa lolote....na kuhusu funza kuanza kudrop ndani ya muda mfupi hiyo haingii akilini ata kidogo by the way sijaona ukweli wowote huo na kuhusu kutumiwa jina la alhaji binafsi sijaelewa maanake kuna watu wana majina hayo na baadhi ya walio hiji huitwa hivyo so hatujaelewa nia hasa ya huyo alie post
 
pesa!!!tatizo tusipojichunga,ila wapo kule ulaya wanaliwa na mbwa kama kawaida kwa miaka nenda rudi,na hakuna taasisi yoyote inayotetea haki za binaadamu iliyogusia mambo hayo,na wengi wanaoliwa ni wanawake toka africa na nchi masikini za bara la asia na south america......
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.

Ujuwe kuna mchungaji kisha fanya madudu sasa inapikwa habari ya uongo kufifirisha ya ukweli.
 
Nafikiri huyo Alhaji ni mtu anayefanya mambo ya kishirikina, akichunguzwa huyo anaweza asiwe ni mtu wa kwanza aliyefariki kutokana na mambo anayowalipa ili wayafanye
 
Nashindwa kuelewa kabisa MWANANCHI LA LEO TENA KUNA HABARI YA BINTI WAKIBIGERIA AMELAWITIWA NA MBWA MPPAKA KUFA JAMAA AKAMREKODI THEN BINT ALIPOONESHA KUCHUKIWA AKAPEWA FUNGUO ZA JEEP NA PETE YA UCHUMBA ILA AMEFARIKI.NIMEKASIRIKA SN YANI WAZUNGU KWANN WATUDHARAU HIVI JAMANI UCHAF WA FIKRA ZAO WANAULETA HUKU KWANINI ?JAMANI HATA SHETANI ANASHANGAA
 
Back
Top Bottom