Mwarabu wa uswazi huyo
Weee Money Stunna mdhungu pure ivo hahahahaha lol
amenipa ujiko kweli kuniambia naokea kwa profesa Tibaijuka
!
!
usikute na mimi ni muarabu ila sijijui.
weka picha tukwambie pengine unaweza kuwa muarabu wa DUBAI kama MPOKI
Alafu unajua kuwa waarabu safi na wahindi ni weusi ivoo sema tu wanakua na nywele laini sana
yea kuna ambao wapo kama Mpoki lakin waarabu au wahindi tena wapo wengi.Ukitaka kuwaona sana nenda India,Malaysia,(Qatar na Dubai ) utawakuta wwnabeba mizigo airport.
wapo wengi sana inawezekana jamaa ni muarabu ila ajui ndio maana nimemwambia aweke picha
Inawezekana kweli hahahaha akiweka niite
bado natafuta alichomwaga
Hapo ni mchina tu hakuna cha koko wala kokwa..mwarabu koko
Kwani waarabu wanakunywa vileo?