Binti wa Karume azua mtafaruku kortini Dar

Binti wa Karume azua mtafaruku kortini Dar

Hivi mtoto wa rais ni nani katika sheria za mahakama? Kwanza ameidhalilisha mahakama pili kamdhalilisha hakimu. Please tunaomba sheria ichukue mkondo wake.

Mtu wa kawida ukiwa mahakamani hata ukicheka tu kwa sauti unaenda kupumzishwa, sembuse yeye aliyemfokea hakimu?

Chondechonde jamani tunaomba sheria ichukue mkondo wake, haya makali yake pande zote za shilingi
 
Hakimu Lyamuya alikosa kifungu cha kumuweka ndani huyu mtoto wa Karume? Nafikiri hapa tatizo ni hakimu mwenyewe kwanza kwa nini anapangiwa hata tarehe ya kesi, hiyo sio kazi ya mawakili. Angemfunga kwa siku kadhaa ili baadaye ashike adabu au Karume aamuru kumuondoa lupango kwani kesi za Tanzania zinaamuliwa kwenye meza za wanasiasa. Dito style.
 
wewe kama nani ? hivi ni kitu gani ambacho unadhani huwezi kufanya wewe ? maana kazi za wanasiasa wee unatilia mguu, mahakimu unatia mguu, yaani kila kitu unadhani unaweza kufanya bobu ?? kila jambo na mtu wake,wee andika mashairi mzee !
Kada kwa vioja!Unataka tuone huyu hakimu hajakosea kwa vile ni mtoto wa Makamu mwenyekiti wa Chama chako?
 
actually kwa wale msiomfahamu fatma karume ni
1. wakili ambaye ni mshari sana na siku zote anapenda kuwanyanyasa mahakimu na majaji. mara nyingi ameonywa lakini kwa kuwa ni mtoto wa mkubwa haguswi. kama mnavyoelewa kitendo cha kugusa familia ya karume ni kutishia muungano wa nchi yetu(kama huamini uliza watu)

2.kwa sasa yuko kwenye ile law firm ya IMMA advocates yenye uhusiano mkubwa na maskendo ya deep green finance na tangold kama partner na sasa inaitwa IMMA and Karume Advocates!! mi nahisi ameenda pale kulinda maslahi ya chama tawala!! sasa labda anahisi mama lyamuya kwa kuwa ni mchaga basi atakuwa chadema!!
 
Nyie semeni mpaka mmalize, lakini hawa mahakimu kama kwenye kesi hakuna ulaji au wakili ambaye ana msimamo wa kutokutaka kuvuta kitu kidogo na hakimu, mengi hujitokeza ikiwa ni pamoja na kufrastrate wakili pamoja na wateja hadi wapige magoti. Hao ndio mahakimu.
Mahakimu wa mahakama zetu wakati mwingine hutaka kuendesha kesi kwa matwakwa yao na wala sio kwa mujibu wa kazi zao zinavyotaka.
Sasa hivi kumshambulia wakili Fatma ni mapema sana kwani ripoti kamili juu ya sakata hilo bado haijatolewa.
 
wewe kama nani ? hivi ni kitu gani ambacho unadhani huwezi kufanya wewe ? maana kazi za wanasiasa wee unatilia mguu, mahakimu unatia mguu, yaani kila kitu unadhani unaweza kufanya bobu ?? kila jambo na mtu wake,wee andika mashairi mzee !

Kada Mpinzani at his best. Kazi yake kutetea mafisadi na madudu yanayofanywa na serkiali.
 
wewe kama nani ? hivi ni kitu gani ambacho unadhani huwezi kufanya wewe ? maana kazi za wanasiasa wee unatilia mguu, mahakimu unatia mguu, yaani kila kitu unadhani unaweza kufanya bobu ?? kila jambo na mtu wake,wee andika mashairi mzee !

Kada unakazi ya ziada ya kufanya kufikia level ya mwanakijiji.
 
Basi kama huyu binti yupo IMMMA,naelewa sasa kwa nini amebehave hivyo.Hiyo kampuni ndiyo babalao kwenye kusimamia ishuz za ufisadi na unahusika moja kwa moja ktk hayo.Hawa ndiyo walinunua range rovers za hundreds of millions (vogg) alafu wakazirusha kwa British airways,ilibidi wazungu washangae kwani hutokea nadra sana.
 
hakimu hakutumia rungu lake vizuri,huyo kaabuse mahakamani ilibidi aake rumande masaa kadhaa ili iwe fundisho
 
hivi alisha hama pale kwa mkono,fatma ni mtu asiyependa kuyumbishwa ktk mambo yake,na ni mtu mwenye hasira sana pindi unapomkorofisha na ukorofi anauweza sio kwa sababu ya mtoto wa raisi bali ni tabia yake
 
Nyie semeni mpaka mmalize, lakini hawa mahakimu kama kwenye kesi hakuna ulaji au wakili ambaye ana msimamo wa kutokutaka kuvuta kitu kidogo na hakimu, mengi hujitokeza ikiwa ni pamoja na kufrastrate wakili pamoja na wateja hadi wapige magoti. Hao ndio mahakimu.
Mahakimu wa mahakama zetu wakati mwingine hutaka kuendesha kesi kwa matwakwa yao na wala sio kwa mujibu wa kazi zao zinavyotaka.
Sasa hivi kumshambulia wakili Fatma ni mapema sana kwani ripoti kamili juu ya sakata hilo bado haijatolewa.

Vizuri kutupatia picha halisi ya mahakama na watendaji wake
 
Yaani kila Hakimu anajitoa, sasa hii ni mahakama au tunakoelekea ni wapi. Hivi sheria kwa watoto wa wakubwa zinakuwa likizo????

Hakika nakubaliana na binti Karume Mheshimiwa hakimu Lyamuya hajui kazi hawezi hata kutumia sheria zinazomlinda yeye na mahakama kumuadabisha mtu anayedharau mahakama au sheri hiyo hakuna kama ipo inatumiwa kwa akina nani? au wakili binti Rais yuko juu ya uwezo wa mahakama ya kisutu? kama hivyo ndivyo basi kesi hiyo ihamishiwe mahakama kuu tukapime na ubavu wa waheshimiwa MAJAJI na huko akipandisha mzuka asiamuliwe aachwe amnase vibao jaji kumfundisha kazi. hata tamthilia ya the long wait inonyesha uwezo wa mahakama kumbe kisutu NYAU ukioroma inakimbilia jikoni kutafuta mashahidi
 
wewe kama nani ? hivi ni kitu gani ambacho unadhani huwezi kufanya wewe ? maana kazi za wanasiasa wee unatilia mguu, mahakimu unatia mguu, yaani kila kitu unadhani unaweza kufanya bobu ?? kila jambo na mtu wake,wee andika mashairi mzee !

Hahahaah...ebana Kada hata mi nilitaka kumwuliza hilo hilo...yeye kama nani? Kama mgambo mlinzi wa korti, koplo wa polisi, karani wa mahakama, au hakimu?
 
Tangu lini mawakili wakawa maafisa wa mahakama?

Dua, nadhani hili watakujibu mawakili wenyewe, inaelekea hujui kama mawakili ni maafisa wa mahakama.

Wakili yeyote ambaye anaweza ku-volunteer, ampatie maelezo ya kina kwanini mawakili ni maafisa wa mahakama.
 
Back
Top Bottom