Naitaji binti wa haraka
mwenye elimu isiyo pungua form six awe anjua kupika vizuri mengine
nitaongea nae! Awe mzuri kama Preta
Naitaji binti wa haraka mwenye elimu isiyo pungua form six awe anjua kupika vizuri mengine nitaongea nae! Awe mzuri kama Preta
Sasa si useme tu unamtaka huyu preta
Chezea udomo zege wewe?lazima aje na mbinu mbadala
hahahah af wanakaba mpaka penati
hahahah af wanakaba mpaka penati
Mmmmmmh
Naitaji binti wa haraka mwenye elimu isiyo pungua form six awe anjua kupika vizuri mengine nitaongea nae! Awe mzuri kama Preta
nini............