Binti wa haraka anahitajika

Binti wa haraka anahitajika

miaka,dini,kabila wala haiko kwenye list yako awe amemaliza form six basiiiiiiiiiiiiii hapo ndiomwisho wa elimu unayo itakaa eeh sio zaidi wala ilopungua? nenda branch zote za OIL COM wote ni form Six kachague.........
 
Akiwa na elimu zaidi ni added advantage kwake
 
Naitaji binti wa haraka mwenye elimu isiyo pungua form six awe anjua kupika vizuri mengine nitaongea nae! Awe mzuri kama Preta

Mimi ni mrembo sana,kwa mapishi tu umefika ila nipo chuo hizo haraka zako siwezi nakula kuku wakubwa c kukumdogo je nafaa??
 
Eti! ® Binti wa haraka anaitajika ©
Jamani hivi tumefikia hatua ya kuwaona wanawake kama bidhaa!! Kichwa cha habari kimenikwaza kwakweli kinadhalilisha akina mama kwani kwani mwanamke hapatikani kirahisi kihivyo unless uende wanakojiuza na penyewe huendi kichwa kichwa.
Tujifunze kutumia kauli nzuri kwa dada zetu.

Siku hizi hakuna bidhaa rahisi kama mwanamke.....hata embe lina thamani...
 
Back
Top Bottom