🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo kwa hapa ulikua unahitaji nini mzee mwenzangu?! Hela ya lodge? Namna ya kumwambia mkeo? Au?
😂😂😂😂😂😂''Mimi sihishi kibaha"
Wewe pia ni mtoto wa 2000 ukibisha thibitisha hata kwa kitambulisho cha kura.
Utasema yote ngoja akutengeneze😅😅Wakuu Kuna Binti wa 2000 hajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili wa kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana,
Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani, nikamwambia njoo mlandizi nikutoe out, akasema atakuja anaomba nimtafutie lodge alale aondoke kesho yake,
Hapa nawaza aje alale aonodoke mi sitaki kulala nae maana anaonekana kunitaka Kuna viashilia vingi naviona, wanawake wengine kwann wanapenda waume za watu jamani.
Huyu Binti mtoto wangu wa pili alivyozaliwa alifika hadi Hospitali kumuona mke wangu, na nikiwa sehemu anajisogesa sogeza sana kwangu, ofcoz
Mimi sihishi kibaha kwasababu nafanya kazi Mlandizi nikiwa off ndio narudi Kibaha kuiona familia huyu Binti ni family friend tu amepanga chumba anaishi karbu na kwangu kibaha ila ni mfanyakazi ameajiliwa.
Bro umenichekesha Sana.Kwahiyo kwa hapa ulikua unahitaji nini mzee mwenzangu?! Hela ya lodge? Namna ya kumwambia mkeo? Au?
ASANTE KWA TAARIFA...Maana hakuna unapoonyesha kuhtaj msaada.Wakuu Kuna Binti wa 2000 hajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili wa kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana,
Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani, nikamwambia njoo mlandizi nikutoe out, akasema atakuja anaomba nimtafutie lodge alale aondoke kesho yake,
Hapa nawaza aje alale aonodoke mi sitaki kulala nae maana anaonekana kunitaka Kuna viashilia vingi naviona, wanawake wengine kwann wanapenda waume za watu jamani.
Huyu Binti mtoto wangu wa pili alivyozaliwa alifika hadi Hospitali kumuona mke wangu, na nikiwa sehemu anajisogesa sogeza sana kwangu, ofcoz
Mimi sihishi kibaha kwasababu nafanya kazi Mlandizi nikiwa off ndio narudi Kibaha kuiona familia huyu Binti ni family friend tu amepanga chumba anaishi karbu na kwangu kibaha ila ni mfanyakazi ameajiliwa.
Evelyn kumbe inawezekana nae akaitwa bro!!?Bro umenichekesha Sana.
Napiga picha jamaa akija anazunguka zunguka haiombi direct unamuuliza "kwani ulikuwa unataka nini? Sema faster niwahi konyagi yangu"
Anapenda utani kutumia neno bro.Evelyn kumbe inawezekana nae akaitwa bro!!?
Mwanaume handsome ni yule mwenye kipato cha kutoshaWakuu Kuna Binti wa 2000 hajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili wa kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana,
Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani, nikamwambia njoo mlandizi nikutoe out, akasema atakuja anaomba nimtafutie lodge alale aondoke kesho yake,
Hapa nawaza aje alale aonodoke mi sitaki kulala nae maana anaonekana kunitaka Kuna viashilia vingi naviona, wanawake wengine kwann wanapenda waume za watu jamani.
Huyu Binti mtoto wangu wa pili alivyozaliwa alifika hadi Hospitali kumuona mke wangu, na nikiwa sehemu anajisogesa sogeza sana kwangu, ofcoz
Mimi sihishi kibaha kwasababu nafanya kazi Mlandizi nikiwa off ndio narudi Kibaha kuiona familia huyu Binti ni family friend tu amepanga chumba anaishi karbu na kwangu kibaha ila ni mfanyakazi ameajiliwa.
🤣🤣🤣🤣 kwakweli inabidi nianze kutembea na bakora.
Itabidi uwe kama Mzee Kifimbocheza wa gazeti la Sani enzi zileee. Ukikutana na furushi ni mwendo wa bakora tu. Na mimi nitaendelea kuwa nakutonya kila nikigongana nayo 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 kwakweli inabidi nianze kutembea na bakora.
Kifimbo cheza🤣🤣 umenikumbusha mbali.Itabidi uwe kama Mzee Kifimbocheza wa gazeti la Sani enzi zileee. Ukikutana na furushi ni mwendo wa bakora tu. Na mimi nitaendelea kuwa nakutonya kila nikigongana nayo 😂😂😂
View attachment 3364744
Mbali wapi mtoto wa afumbili wewe? Naam! Kifimbocheza cha mafurushi maana hali ni tete!Kifimbo cheza🤣🤣 umenikumbusha mbali.