Binti wa 2000 amenipenda mimi na watoto wangu

Eliud Bunju

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
375
Reaction score
707
Wakuu Kuna Binti wa 2000 hajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili wa kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana,

Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani, nikamwambia njoo mlandizi nikutoe out, akasema atakuja anaomba nimtafutie lodge alale aondoke kesho yake,

Hapa nawaza aje alale aonodoke mi sitaki kulala nae maana anaonekana kunitaka Kuna viashilia vingi naviona, wanawake wengine kwann wanapenda waume za watu jamani.

Huyu Binti mtoto wangu wa pili alivyozaliwa alifika hadi Hospitali kumuona mke wangu, na nikiwa sehemu anajisogesa sogeza sana kwangu, ofcoz

Mimi sihishi kibaha kwasababu nafanya kazi Mlandizi nikiwa off ndio narudi Kibaha kuiona familia huyu Binti ni family friend tu amepanga chumba anaishi karbu na kwangu kibaha ila ni mfanyakazi ameajiliwa.
 
Wakuu Kuna Binti WA 2000 ajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili WA kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana,

Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani , nikamwambia njoo mlandizi nikutoe out, akasema atakuja anaomba nimtafutie lodge alale aondoke kesho yake,

Hapa nawaza aje alale aonodoke mi sitaki kulala nae maana anaonekana kunitaka Kuna viashilia vingi naviona, wanawake wengine kwann wanapenda waume za watu jamani , huyu Binti mtoto wangu WA pili alivyozaliwa alifika Hadi Hospitali kumuona mke wangu, na nikiwa sehemu anajisogesa sogeza sana kwangu, ofcoz

Mimi sihishi kibaha kwasababu nafanya kazi Mlandizi nikiwa off ndio narudi Kibaha kuiona familia huyu Binti ni family friend tu amepanga chumba anaishi karbu na kwangu kibaha ila ni mfanyakazi ameajiliwa.
Mkeo ana hizo taarifa? Em fanya jambo la busara kwa kumshirikisha mkeo kwanza then sie tutamalizia ushauri ulio bakia...
 
Wakuu Kuna Binti wa 2000 hajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili wa kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana,

Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani, nikamwambia njoo mlandizi nikutoe out, akasema atakuja anaomba nimtafutie lodge alale aondoke kesho yake,

Hapa nawaza aje alale aonodoke mi sitaki kulala nae maana anaonekana kunitaka Kuna viashilia vingi naviona, wanawake wengine kwann wanapenda waume za watu jamani.

Huyu Binti mtoto wangu wa pili alivyozaliwa alifika hadi Hospitali kumuona mke wangu, na nikiwa sehemu anajisogesa sogeza sana kwangu, ofcoz

Mimi sihishi kibaha kwasababu nafanya kazi Mlandizi nikiwa off ndio narudi Kibaha kuiona familia huyu Binti ni family friend tu amepanga chumba anaishi karbu na kwangu kibaha ila ni mfanyakazi ameajiliwa.
Unayo number ya simu ya mkeo?
 
Back
Top Bottom