mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,066
- 132,520
NI WENYE AKILI TU NDIO TUTAKUWA TUMEKUELEWA HEHEHEKuanika anayofanyiwa huyu binti sio kumdhalilisha Bali lengo Ni kufikisha Ujumbe ninakusudia.Tuendelee kumuombea.
OVA
NI WENYE AKILI TU NDIO TUTAKUWA TUMEKUELEWA HEHEHEKuanika anayofanyiwa huyu binti sio kumdhalilisha Bali lengo Ni kufikisha Ujumbe ninakusudia.Tuendelee kumuombea.
Uko sawia mkuu.Bint ni nchi ya Tanzania bwana anayemmiliki kwa sasa ni raisi aliyeko madarakani walompiga Bint mtungo ni mataifa yalowekeza hapa kwa mikataba ya kinyonyaji kama vile hii nchi haina wasomi wanaoweza kuandika mikataba yenye manufaa kwa nchi wanaomuhitaji Bint ni mataifa yanayotaka kuja kuweka mirija yao na kuendelea kufyonza rasilima za mama Tanzania wamesahau mkuu wa kaya amesema imetosha ni tafsiri isiyo rasmi ila mtoa mada atakua anajua zaidi.
Kwanini usingetumia wanaume kufikisha ujumbe wako kwahyo umetu undermine eeeh aibu yako.Kuanika anayofanyiwa huyu binti sio kumdhalilisha Bali lengo Ni kufikisha Ujumbe ninakusudia.Tuendelee kumuombea.
Kwa tamaduni zetu kutumia Mwanamke kwenye mfano huu ndiyo sahihi!! wanaume wanaoa hawaolewi.ungetumia mwanaume tu
SAWA MKUUKwa tamaduni zetu kutumia Mwanamke kwenye mfano huu ndiyo sahihi!! wanaume wanaoa hawaolewi.
Kwenu mwanaume anaolewa?ungetumia mwanaume tu
embu ngojaKwenu mwanaume anaolewa?
Utarudi akija masihaembu ngoja
Jamani jaribu kusoma na kutafakari sio kila kitu kinaletwa moja kwa moja. Huyu katumia lugha ya kifasihi zaidi hivyo ni lazima uwe na uwelewa wa fasihi ndipo umuelewe. Ukitumia lugha ya kisayansi huta muelewa! Think literary not literallyacha kudhalilisha wanawake wewe.kumbuka tumekuzaa
ulikua malenga nini.1.Ni zaidi ya miaka 50 tangu huyu binti avunje ungo.Ulikuwa shamrashamra kwa wazazi sababu binti hao amekua.
2.Ni utamaduni wake kubadili mume kila baada ya miaka 5.Ni utaratibu aliouweka yeye mwenyewe.
3.Binti ana uzuri wa kila namna...Rangi ya dhahabu,maziwa mazuri,milima yake ndo usiseme.
4.Mabwana wakichina na mmarekani walimtaka kwa mda tofauti ili kuutumia uzuri wa mwili wake,cha kusikitishs sasa analiwa mtungo na hao mabwana kwa idhini ya waume zake(wa sasa na waliopita)Huku mabwana wengine(wafaransa,wahindi,waarabu nk) nao wakimmezea mate huyu binti asiyejua kukataa.(neno SITAKI halipo kwenye kamusi yake)
5.Binti kwa sasa ana stress inayotokana na mumewe kugombana na mabwana kutoka kijiji cha pili wanaomuhitaji binti huyu kwa udi na uvumba toka mwaka 1992 tangu itangazwe kuwa mtu toka kijiji chochote unaweza kumuoa binti huyu mrembo.Ila kutokana na ukali wa mume wake wa sasa inaonekana harakati za hao mabwana kumpata huyu binti zinakuwa ngumu.Hao mabwana wataka kufanya maandamano kuonyesha jinsi gani mume wa sasa wa binti anavyowakandamiza katika harakati zao za kumuopoa binti,ndipo binti awaonee huruma na kuwapa mzigo.Ikumbukwe kila mwanaume anaruhusiwa kufanya harakati zake ili kumshawishi huyu binti kwa sharti la kufuata utaratibu uliopo.
Pole sana binti,nitazidi kukuombea kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akuepesha na mabaya yote.Amen