Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 367
- 776
Nataman kupata mdada hapa jf wa kuwa naye rafiki maana cocastic alinitema.
Inatakiwa apigwe msasa wa kutosha.Haiombwi hivyo chief 😃
Subhanallah.....🙊Nataman kupata mdada hapa jf wa kuwa naye rafiki maana cocastic alinitema.
Mwambie Kuna bibie anaitwa Binti tz.ayatollah wa jf secretarybird njoo huku
alafu huyu dogo namfananishaga Sana na wewe au ndo zile Id's nyinginyingiMwambie Kuna bibie anaitwa Binti tz.
Kwamba mkandarasi kawa mzabuniKwa mujibu wa VAR huyo sio bint,
Ame switch tu kutoka kutambulika kama Red-me na kua Binti tz.
😅😅 hawajui ni kale kasungura topeKwa mujibu wa VAR huyo sio bint,
Ame switch tu kutoka kutambulika kama Red-me na kua Binti tz.
Ni yule Chadema_2030😅😅 hawajui ni kale kasungura tope
Au mtoa mada naye backlessMnaohangaika kumshauri mtoa mada kwani hajui anachokitafuta?
Aliazna kumlilia cocastic
Akaja kumlilia bichwa komwe
Leo kaja Kwa huyu
Anachokitafuta anakijua
Naona unataka kuangukia kwa Shemale,Nataman kupata mdada hapa jf wa kuwa naye rafiki maana cocastic alinitema.
SijuiAu mtoa mada naye backless
Ni yule Chadema_2030
Anajibadilisha tu na VAR inamuangalia tu.