Binti ninayetafuta kazi

Binti ninayetafuta kazi

Ninafikiri mwenye matatizo ni aliyedai picha ya anayetafuta kazi inayoonyesha mbele na nyuma.
Hapana... Haya maswali ya kuuzi yana maana kubwa sana... Pata picha huyu Dada ume muweka au ajiri ktk biashara yako akakutana na wateja wa hivi au akakutana na presha ktk kazi... Jinsi ya kuikabiri moja kwa moja atafanya hivi? Na kama ataifanya mini kitatokea? Lina wezekana hili lilikuwa swali la kumpa kazi au kubadili historia ya maisha yake lakini ndio amesha chezea bahati au fursa ya ajira

Una ulizwa kwanini wewe ni mfupi, au mrefu una tukana au una jibu mapigo au nawewe una uliza tena swali...
 
akampe mama yake iyo kazi iseeeeee Nina akili timamu tenaaa timuuu ,watu wenye kazi hawana maswali ya kishamba au ya kilimbukeni ivyo ata wewe pia ujui Mimi nani mwambie awe na eshima na maneno yake
 
[/QUOTEmtu una njaa njaaa afu unajidai jeuri ebu acha ufala wewe mama anaingiaje huku? mwisho wa siku ndo mnaishiaga kujiuza nyie...Am sure kama wewe ni graduate Gpa yako ni 1.9 unaonekana ni dizain ya vile visichana vishamba vishamba vinavyoshinda vinaangalia tamthilia...Foolish
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom